TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KAMATI za Utendaji za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Wilaya ya Nyamagana na Ilemela katika vikao tofauti kwa kushirikiana na kamati za...
Ushahidi wa kimazingira, kwa kufananisha hali ilivyo sasa na ilivyokuwa mwaka jana, ni wazi kabisa kuwa tatizo la mgao wa umeme halikuwa kubwa kama ilivyokuwa. Ni wazi kuwa Ngeleja na Mhando...
Katibu mkuu wa zamani wa umoja wa mataifa (UN) Kofi Annan akisalimiana na rais Jakaya Kikwete baada ya kumkabidhi kitabu chake. Kwa wanaojua jinsi Kikwete anavyozidi kuua elimu na maadili nchini...
Mji wa arusha umechafuka ghafla baada ya wafanyabiashara ndogo ndogo mjini hapa kuvamia eneo lililouzwa na aliyekuwa meya miaka ya nyuma. Eneo hilo liko karibu na soko la Kilombero.
Hali hiyo...
Majina rasmi yatasomwa muda si mrefu jopo la paparazi wapo hapa wakisubiri tamko la NAPE NNAUYE
Kuna majina yametajwa kweli katika ile habari iliyotangulia hapa yamekatwa kweli, ila kwa kulinda...
Kuna mambo kadhaa Freeman aliyazungumzia na kusema ukweli nilimkubali kwani sijaonana naye miaka mingi na ame mature zaidi lakini pia cha ajabu hata accent yake nayo imebadilika sana basically...
Ni chaguzi nyingi zimepita tokea kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini. Kuna watu wengi humu JF ambao licha ya kushiriki kupiga kura katika mfumo wa vyama vingi pia wana historia ya kupiga...
Nipo Lakairo Hotel hapa Mwanza na muda Huu ambao ni saa 00:48 usiku; Kikao kazi kinaendelea hapa na waliohusika ambao nimewaona ni William Ngeleja, Mabina, Gachuma, Nape, Diwani wa CDM...
M/kiti wa CCM, Rais wa nchi amesema CCM haitakufa. Moja ya ishara ya uhai wa CCM, alitaja ni wasomi wanaogombea nafasi ndani ya CCM.
Shukrani hiyo inaonyesha wazi njaa ya wasomi ktk chama hiki...
Kumekuwepo na kila aina ya makala zinazoongelea maisha ya chama cha democrasia na maendeleo( CHADEMA) kuelekea kupoteza umaarufu wake. Sababu zinazoelezwa ni vurugu zinazotokea kwenye maandamano...
Leo katika semina ya siku Moja iliyoitishwa na TCD, TBC 1 Ilikuja kwa lengo la kufanya coverage ya kikao. Baada ya hotuba za ufunguzi waliwaita viongozi aw CCM na wa CHADEMA nje kwa ajili ya...
'As a Nation we never attempt any Great thing'' That is why we are not moving forward at the speed we want. If we want to change this Nation we can change it. It require our efforts, combined...
*Pia wamo Samia na Dk. Mwinyi
Diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Ramadhani, Wilaya ya Wangingombe mkoa wa Njombe, Livingstone Luvanda, ambaye alijeruhiwa vibaya kwa kupingwa na...
Mh. Mbunge akiwasili kwenye eneo la mkuntano...
Umati wa wananchi waliokuwa wakimsubiri Mbunge wao...
Mh. Sugu akijiandaa kupanda kwenye meza tayari kuzungumza na wananchi wa kata ya Igawilo...
*Hasa waropokaji na wapotoshaji wa sera za chama
Rai | Alhamisi, Septemba 27, 2012
IMEBAINIKA mambo si shwari kabisa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Hayaendi sanjari na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UTEUZI WA POSTA MASTA MKUU WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bwana Deos Khamis...
Jana tar 7.9.12 Waislamu waliamua kufanya maandamano bila kupata kibali kwa ajili ya kuwatetea wenzao waliokamatwa kwa kukataa kuhesabiwa ktk zoezi la sensa linalofanyika nchi nzima. Sasa...
Kutokana na chama cha mapinduzi kuchuja wagombea wa nafasi mbali mbali za kisiasa na kuwa acha wengi wao kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo za utovu wa nidhamu na kutaka madaraka zaidi ni...
Wafuasi wa CCM wilayani Meatu juzi walilishambulia kwa mawe gari lililobeba viongozi wa CHADEMA na kuliharibu vibaya huku wakinyofoa bendera za CHADEMA na kutupa kusikojulikana.
Gari hilo...
MVUTANO wa kisheria ulioibuka katika rufaa iliyofunguliwa na Chiriko Haruni, aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge wa Mwibara kupitia tiketi ya Chadema dhidi ya mbunge wa jimbo hilo, Kangi Lugora...