Kwanini Ngeleja asishitakiwe kwa uhujumu uchumi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Ngeleja asishitakiwe kwa uhujumu uchumi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ramos, Sep 27, 2012.

 1. R

  Ramos JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ushahidi wa kimazingira, kwa kufananisha hali ilivyo sasa na ilivyokuwa mwaka jana, ni wazi kabisa kuwa tatizo la mgao wa umeme halikuwa kubwa kama ilivyokuwa. Ni wazi kuwa Ngeleja na Mhando walikuwa wanafanya njama za kuihujumu TANESCO kwa maslahi binafsi. Athari za mgao wa umeme tunazifahamu. Maisha ya Watanzania yaliyopotea mahospitalini, na athari za kiuchumi ni chache tu kuzitaja.

  Naamini sasa ni wakati muafaka wa kuanzishwa uchunguzi makini, kubainisha kama kweli mgao wa umeme uliokuwa unalikumba taifa miaka ya karibuni, hasa alipokuwepo Ngeleja na Mhando ulikuwa halisi, au wa kutengeneza kwa maslahi yao.

  Najua itakuwa ngumu sana kwa serikali ya CCM kufanya uchunguzi huu, lakini naamini serikali yeyote makini itakayoingia 2015, itaona umuhimu wa kufanya hivyo.
   
 2. S

  Shembago JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naunga Mkono hoja hii,ngeleja achunguzwe hata kama sio leo ila CDM ikiingia kushika dola hii iwe priority ni pamoja na kumpeleka The hague kamuhanda!
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Subirini apewe kwanza uenezi wa chama!!!
   
 4. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  we umemuona tuu ngereja ...natamani nikutukane ila najiheshime.....hauwaoni mafisadi wengine tena wengi tuu wanateketeza nchi yetu unakazania ngereja tuu ukute na wee ni fisadi unamkandamiza mwenzio kwa wivu wakukuzidi kete au kukomeshana kwenda huko
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,346
  Trophy Points: 280
  Hatuna utamaduni wa kuwapeleka wahujumu uchumi mahakani. Wale unaowaona wamepandishwa mahakamani, hawakutoa chambichambi kwa wakuu. Si unajua tena mambo ya kula na kipofu?
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Hatoweza kushitakiwa sababu ni mwana ccm mtiifu na ametekeleza sera.
   
 7. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mwambie aende akachukue benzi lake la kisasa hapo DT Dobbie manake kisha lilipia miela kibao na linapigwa vumbi tu!
   
 8. p

  politiki JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  wewe unazungumzia kushtakiwa wakati wenzako wanataka kumpandisha na cheo
   
 9. b

  bariadi2015 Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katibu mwenezi taifa bana!!!haki ya nani ingekuwa na kwamungu wezi wanapandishwa vyeo!!!!!
   
 10. eumb

  eumb Senior Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja, tukumbuke katika moja ya mikutano ya ndani ya wafanyakazi wa Tanesco na Waziri Muhongo waligusia suala la kulazimishwa kuzima umeme ili ile mikampuni ya kinyonyaji iweze kuuza umeme wao na hao Waheshimiwa waliopewa tender za kusupply mafuta kwenye makampuni hayo waweze pia kufanya biashara. Hili liko wazi sana, tatizo ni hao hao wa chama kimoja na hakuna wakumbana mwingine, ila hapo 2015 shughuli itakuwa pevu,:peace:
   
 11. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni hoja nzuri na ningependa mbunge mmoja alilete jambo hili bungeni kama hoja binafsi ya kuchunguza migao ya umeme. Ingawa naogopa wabunge wengi wa CCM hawatapenda kuona jambo hili likijadiliwa kwa uwazi na ukweli kwani kuna wengi (wengine wanaheshimika kama viongozi kwenye chama na serikali) na huenda pigo hili likawaathiri kwenye uchaguzi wa 2014/15
   
 12. R

  Ramos JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sometimes namwangalia Kikwete simmalizi... Nawaza sana kama ana nia njema na CCM, au ni udhaifu tu...
   
 13. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Hawezi kushtakiwa si alikua anamuangaliazia mkuu ten percent kwenye makampuni ya madini na gesi ? Wala usishangae ukasikia kachaguliwa kuongoza idara yoyote kwenye hichochama cha majambazi
   
Loading...