the circus
Member
- Oct 24, 2011
- 71
- 59
Kuna mambo kadhaa Freeman aliyazungumzia na kusema ukweli nilimkubali kwani sijaonana naye miaka mingi na ame mature zaidi lakini pia cha ajabu hata accent yake nayo imebadilika sana basically Free sasa anaongea kama wale wazee wa kiswahili na madaha ya lugha na mapambo.
Pili jamaa hakuchelewa watu na hasa watu wa nje ya Tanzania kwa kuwapa ukweli kuwa watu bado wana mentality za UWOGA uliokithiri na hili ni jambo ambalo kaliona kwa diaspora nzima iliopo nje.
Tatu ameweka wazi kuwa waTanzania na hasa waliopo nje HAWAJIAMINI kabisaa...lakini hili nashangaa Freeman analijua fika lipo hata humu JF tazama mijadala yetu ilivyo humu imejaaa ushabiki mno badala ya facts na watu hawajiamini hata kufanya simple google search sasa sembuse hilo la kuwa nje ya nchi? Dont even get me started Mbowe aliposema kuwa hata kuongea kiingereza watu wa diaspora waoga lol
Nne hoja yake ya ELIMU, ELIMU, ELIMU (sikubaliani nayo) watu washasoma sana ila nakubaliana na ile hoja yake ya LAW & ORDER lakini ningeomba angeanza na hiyo LAW & ORDER ndani ya kambi yake ambako mawaziri wake vivuli wako kimya mno na joo inaokana WOHA, KUTOJIAMINI Nna KUTOKUWA NA ELIMU ya kutosha. Mimi mpaka sasa sijajua msimamo wa kambi ya upinzani ambayo anayoiongoza Freeman juu ya mpaka wetu na Malawi, infrastructure developments na mambo ya ulinzi. Hawa watu wako Freeman wamekuwa INVISIBLES na hatuelewi sababu ni nini.
Tano na mwisho ningependa kuuliza kwa nini Video ya MASWALI NA MAJIBU kwenye mkutano wa DMV uliwekwa kapuni na CHADEMA? Hawa CHADEMA alivyo media savy tulitegemea MEDIA DEPARTMENT YA CHADEMA wangeweka vidoe zote kwenye:
Website yao
Blog yao
youtube channel yao
Hasa ukizingatia waziri kivuli wa utamaduni bwana mbilinyi alikuwepo kwenye ule msafara.
sasa kwa nini haya mambo ya TRANSPARENCY yamekuwa kama ya CCM? Kuna siri gani?