Kikwete apewa kitabu, atakisoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete apewa kitabu, atakisoma?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Father of All, Sep 27, 2012.

 1. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [h=3][/h]

  [​IMG]
  Katibu mkuu wa zamani wa umoja wa mataifa (UN) Kofi Annan akisalimiana na rais Jakaya Kikwete baada ya kumkabidhi kitabu chake. Kwa wanaojua jinsi Kikwete anavyozidi kuua elimu na maadili nchini wanashangaa kama hii ni zawadi au suto. Je Kikwete asiye na muda wa kutulia hata kufanya kazi zake atapata muda wa kusoma hicho kitabu? Kikwete asiye na utamaduni wa kujisomea atakisoma au kukiweka kwenye shelves na huo kuwa mwisho wake? Kikwete rais atokanaye na kizazi kisichosoma wala kutunga na kuandika na kitabu wapi na wapi?
   
 2. M

  Major Nyenzi Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ana watu wa kumsomea ... shida juu ya nini?
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Afu baadae analalamika amepotoshwa!
   
 4. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,276
  Likes Received: 10,308
  Trophy Points: 280
  Naomba hii ipelekwe kwenye jukwaa la photo.
   
 5. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  huwa mara nyingi namsikia na kumuona Mzee Mwinyi kwenye mijadala ya Kiswahili kwenye media, je amewahi kufanya compilation yoyote ya anayoyaongea pia??

  Bravo Mzee Makamba nilikuona unazindua kitabu chako siku moja lakini sijakiona madukani maana nilikuwa natafuta nakala yake kwa udi na uvumba
   
 6. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Akikisoma naomba ban.
   
 7. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  naye wangempatia kile cha kwake cha 'JK - Tumaini Lililolejea' au cha Profesa ili wabadilishane kama business cards
   
 8. m

  mishalejuu Senior Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli hapendi kusoma? sina uhakika. tunaombeni mwenye evidence na hili aturushie humu.
   
 9. m

  mishalejuu Senior Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Annan kama former UN secre ana mambo mengi ameyaona na experience....ni bora amedocument ili tujue kinachoendelea. Huwenda even Pres Kikwete will do the same atakapomaliza ng'we yake on Tanzania politics, economy and religion
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Atampa mwanaisha
   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mbona unaongea maneno mpaka povu la Gego la mwisho linakutoka? JK yaonyesha anakuuma sana kwa utendaji wake ? Na kumbuka rais ni taasisi si mtu mmoja ukilijua Hilo povu lote litakuisha, teh teh teh
   
 12. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,738
  Likes Received: 1,451
  Trophy Points: 280
  Who cares? Ni upepo tu... hili nalo litapita!
   
 13. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,405
  Trophy Points: 280
  Akikisoma hicho kitabu nikatwe mshahara wa mwezi mzima.
   
 14. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Jamani mbona madonge mnamtupia baba yetu JK? Mbona alisoma ile sheria ya Uchaguzi kwa ufasaha kabisa kwani atashindwa kusoma haka kakitabu? Tehe Tehe Tehe. Mpoooooooooo?
   
 15. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Hawezi kukisoma huyo, alitaka tu apigwe nacho picha
   
 16. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Akisoma hicho kitabu,mkandala asiniadmit hapo udsm!
   
 17. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo anasomewa, anapewa brief, nae anatafuta kusoma page iliyomvutia! kama ni hivo anaweza soma vitabu vingi sana mpaka atoke IKULU

   
 18. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  JK kweli anajua kuvaa! Annan angeingiza kwenye Facebuk akamtag Jk angesoma chote!
   
 19. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kwanza tujiulize asome hicho kitabu kimeandikwa kwa kiswahili au kiingereza?hebu acheni utani bana tabi lote hilo asome huyu?hahaaaa
   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  khaaa yaani mtu kavaa mkoti oversize ...kachanganya rangi kama makachumbari halafu unasema kapendeza?kweli kuna watu mna makengeza
   
Loading...