Hivi ingekuwa ni CHADEMA wameandamana bila kibali ingekuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ingekuwa ni CHADEMA wameandamana bila kibali ingekuwaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by eumb, Sep 8, 2012.

 1. eumb

  eumb Senior Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jana tar 7.9.12 Waislamu waliamua kufanya maandamano bila kupata kibali kwa ajili ya kuwatetea wenzao waliokamatwa kwa kukataa kuhesabiwa ktk zoezi la sensa linalofanyika nchi nzima. Sasa najiuliza, kutoka na nguvu kubwa wanayotumia Polisi kuizuia Chadema kuandamana au kufanya mikutano ktk kipindi hiki cha sensa hata ikafika wakaamua kumua Mwandishi Wa habari kule Iringa, je hali ingekuwa vipi? Kweli KOVA angewaita viongozi Wa CDM na kukaa nao kujadili kidiplomasia???!!!
   
 2. m

  majebere JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  Inategemea, kama wangefata sera zao za fujo basi wangepata chakula yao. CDM inatakiwa kuacha kutumia vijana walio lewa kwenye maandamano yao lasivyo kipigo kitaendelea kama kawa
   
 3. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  wangedundwa na kulipuliwa mabomu tumboni, pale wizarani pangejaa utumbo za watu
   
 4. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wangepewa kibali kwasababu zoezi la sensa limekwisha
   
 5. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 1,764
  Trophy Points: 280
  chadema wangeandamana jana wangepigwa mabomu ya machozi...na wengine wangekamatwa

  maandamano ya waisilamu polisi hawawezi kuwapiga mabomu kwa sababu zifuatazo
  1.hawaoni hasara kujitoa muhanga kwani mtu mmoja anaweza kuingia wizara ya mambo ya ndani na akajilipua
  2.waisilamu wako tayali kufa kwa ajili ya dini yao.....
  3.waislilamu ukiwachokoza vurugu zao haziwezi kutulizika mpaka umoja wa taifa uingilie kati
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Wangefanywa "hamna!"
   
 7. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tishio la CCM ni CDM. Mikutano ya cdm inawauma sana. Tunajipanga upya. We kaa ndotoni. Ile ya Iringa ilikuwa ni ufunguzi wa tawi tu. Tawi.
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ingekua ni cdm lazima angekufa mtu hiyo no doubt
   
 9. M

  MGOME Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mungu ni mwema! Na kila lililo na mwanzo lina mwisho wake! Kwa kweli ndugu zetu CHADEMA wananyanyasika!
   
 10. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Maandamano ya jana ya waislam yamenifurahisha. Kwa sababu yamefichua udini wa Kikwete. Ingekuwa ni CDM siyo kufa mtu tu bali ungesikia vitisho kila kona kuanzia kwa Jakaya hadi kwa wakuu wa wilaya. Ingawa watu wenye mawazo mafupi wamekuwa wakisema eti Tanzania inaendeshwa na mfumo Kristo, huu ni ushahidi tosha kuwa Kikwete anaulea udini. Nijuavyo, CDM wanapigwa na kuuawa wakifanya jambo ambalo ni haki yao kisheria wakati waislam waliachiwa wakinga amri halali ya serikali.
   
 11. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hivi waislam wangekuwa ndo wameghushi takwimu za idadi ya watu ingekaje?
   
 12. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Hivi waislam wangekuwa ndo wameghushi takwimu za idadi ya watu ingekuaje?
   
 13. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wangepewa kichapo cha mbwa mwizi. Yaani magazeti ya CCM yangejaa picha za wafuasi wa CDM wakitokwa na damu na wengine marehemu.
   
 14. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pia Nape angeitisha leo press conference!
   
 15. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mimi nilidhani CHADEMA walishiriki maandanano ya jana, kwani WAISLAMU si wapo CHADEMA au?
   
 16. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Muuliza swali angeuliza ingekuwaje kama jana wakristo wangeandamana!!sioni uwiano wa maandamano ya waislamu na chadema!...
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ya jana yamepita,,,tujiandane na el-nino mdau,,,,wewe mbona unaweweseka??????
  ule ni upepo tuuuuuu
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  basi maaskofu wa nchi nzima wangemsema PM+JK na makanisan stori zingekua hizo tu
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  jana?????ZOEZI LINAISHA LEO MDAU,,,,,,,TAREHE 8.SEPT.2012
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Muanzisha thread unataka kuniambia katika maandamano ya jana Chadema hawakuwemo walioandamana jana sio waislam peke yake kuna mwanaharakati mmoja alikuwa katikati ya maandamano anaitwa Paul alikuwa anahojiwa na ITV.
   
Loading...