Kikao kizito cha CCM Lakairo Hotel Mwanza muda Huu, Nape yumo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikao kizito cha CCM Lakairo Hotel Mwanza muda Huu, Nape yumo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Haki sawa, Sep 28, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. H

  Haki sawa JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 4,701
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Nipo Lakairo Hotel hapa Mwanza na muda Huu ambao ni saa 00:48 usiku; Kikao kazi kinaendelea hapa na waliohusika ambao nimewaona ni William Ngeleja, Mabina, Gachuma, Nape, Diwani wa CDM aliyefukuzwa Henry Matata na mtu Mwingine ambaye simfahamu ila amekaa na gari la serikali aina ya V8 lenye namba za STK 8593 ( nahisi ni mkuu wa mkoa MWanza) na wengineo ambao bahati mbaya siwajui majina yao.

  Kazi ya kuimaliza CHADEMA Mwanza ndio hoja kuu na Matata kapewa jukumu hilo na anasema kuwa ataimaliza na kuhakikisha kuwa CCM inashinda Kiti cha Umeya Ilemela na Nyamagana.

  Na kuna kila dalili kuwa fedha inatolewa, kadiri watakavyoamua ntawajulisha kwani nachukia siasa za dhuluma na uhuni Kama huu unaopangwa hapa hotelini.

  CHADEMA kama hamjajipanga jueni mbinu chafu zimeandaliwa na zinapangwa kikamilifu.
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  of course.. haya ni mapambano na ni yule mwenye mbinu na nyenzo ndiye mwenye kushinda...
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...