Maadili Campaign

C.K

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
394
162
Katika kutoa maoni ya kuundwa kwa Katiba mpya tutake Tanzania pia iwepo Wizara ya Maadili kama ilivyo kwa wenzetu Uganda ambapo pamoja na mambo mengine itasimamia Maadili ya kiutendaji kwa Viongozi na Watumishi wa Umma na ya Jamii yetu kwa ujumla. Ukiwa kama mzalendo tuma/eneza ujumbe huu kwa Watanzania wote unaowafahamu ili tuokoe taifa letu. Hii ni sehemu ya Maadili Campaign chini ya shirika la Save the Society (StS). Sisitiza Maadili!
 
Back
Top Bottom