LIVE: Uzinduzi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni Sept 20, 2012

Status
Not open for further replies.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
sasa hivi ndo rais anaingia na msafara wa magari 12.polisi ni wengi, wametanda kuanzia high way hadi baharini. Tutaenda kujuzana kadli mda unavyo kwenda. mia

=====================UPDATE=======================
anayetangaza ni Mecky Sadick. anasema daraja hili litaunganisha mji wa dar esalaam na mji mpya wa kigamboni. anasema daraja litapunguza foleni ya kivuko cha magogoni. Ukamilishaji wa mji mpya wa kigamboni unategemea ushiriki wa wakazi wa kigamboni. mradi huu una manufaa makubwa kwa wakazi wa dar. Huu ni utekelezaji wa irani ya ccm. tunakupongeza sana kwa kutekeleza ahadi za ccm. napenda kuwahakikishia wananchi walio kuwa wanatumia vivuko vya waananchi kwamba tumeshapata sehemu mbadala anasema sadick. mia
wanatambulishwa watu muhimu;
Hosamu Muhalam(sina hakika na spelling) ni balozi wa Misri, mwingine ni katibu mkuu wa kazi Erick Shitumbi. John Ndunguru, Abubakari Rajabu wa NSSF, mkurugenzi mkuu Ramadhani Dau wa NSSF ambao wanachangia garama kubwa, Patrick Mfugale TANROAD, Mhandisi Mataka wa NSSF aliye simamia Chuo kikuu Dodoma, James Wanyancha na watendaji wakuu; Boniface Mhegi, Maselina Magesa, Mwakalinga. mia
mkurugenzi wa nssf anasema;
anaanza nakushukuru;
nssf kwa kushirikiana na serikali inajenga daraja lenye uurefu m680 na barabara 6. watembea kwa miguu ni m2 kila upande hawatatozwa ushuru.
nssf itagaramia asilimia 60 na serikali 40 na kulipa gharama za fidia. ujenzi utagharimu bil 214.6 na utachukua miaka 3. eneo la mladi limekabidhiwa 1.mwezi 2. mwaka huu. hili mnalo liona ni daraja la mda la kuwasaidia wajenzi. daraja litakuwa upande wa kulia wa hili. mia
 
Haya sasa wanafiki nendeni pia katika balozi za wahisani mukawaeleze miradi ya maendeleo inatekelezwa na serikali ya JK.
 
baada ya wimbo wa taifa kuimbwe imeingia bendi ya matarumbeta ambayo katika wimbo wao walikua wakisema" ambao hawaoni mambo yanayo tendwa na ccm hawana macho. wamesema wale wanao zunguka nchi nzima kutangaza uongo wakija mwembe yanga wataonyeshwa hili daraja.
wageni wakiopo ni;
kabaka, fenela mkangara, Hawa gasia,thelesia uviza, injinia rwenge, dr.makongoro, magufuli atakuja baadae, katibu wa ccm dar, wakuu wa wilaya za dar. mtemvu,ndungulile, azan, madabida,maliam kisangi,mameya wote wa dar. mia
 
Haya sasa wanafiki nendeni pia katika balozi za wahisani mukawaeleze miradi ya maendeleo inatekelezwa na serikali ya JK.
Jadili hoja si unakimbilia pumba,wanafki hapo wako wapi,shame on u
 
Lini atazindua ujenzi wa reli ya kati hadi kigoma kama alivyoahidi??hiyo ndio tunaisubiria tunataabika sana tunataka train ya umeme kama ahadi yake ilivyokuwa!
 
anaye tangaza ni meck sadick. anasema daraja hili litaunganisha mji wa dar esalaam na mji mpya wa kigamboni. anasema daraja litapunguza foleni ya kivuko cha magogoni. Ukamilishaji wa mji mpya wa kigamboni unategemea ushiriki wa wakazi wa kigamboni. mradi huu una manufaa makubwa kwa wakazi wa dar. Huu ni utekelezaji wa irani ya ccm. tunakupongeza sana kwa kutekeleza ahadi za ccm. napenda kuwahakikishia wananchi walio kuwa wanatumia vivuko vya waananchi kwamba tumeshapata sehemu mbadala anasema sadick. mia
 
Kuna wazee waliombea hili eneo linalojengwa daraja. baadae watapata fulsa ya kupiga picha na rais. mia
 
Hivi mliopo hapo mtujuze, daraja hilo ndilo lile lililooneshwa kwenye plan ambayo picha yake hii hapa?
attachment.php
 
wanatambulishwa watu muhimu;
Hosamu Muhalam(sina hakika na spelling) ni balozi wa Misri, mwingine ni katibu mkuu wa kazi Erick Shitumbi. John Ndunguru, Abubakari Rajabu wa NSSF, mkurugenzi mkuu Ramadhani Dau wa NSSF ambao wanachangia garama kubwa, Patrick Mfugale TANROAD, Mhandisi Mataka wa NSSF aliye simamia Chuo kikuu Dodoma, James Wanyancha na watendaji wakuu; Boniface Mhegi, Maselina Magesa, Mwakalinga. mia
 
sidhani hili hapa lilikuwa lijengwe upande wa magogoni ila kwa vile wamebadili sehemu ya kujenga kwenda Kurasini basi litabadilika for sure
 
Ujue kuongea na wazungu sio mchezo, namuomba mh jk aendelee kwenda kwa wazungu akatuombee misaada- mh Magufuli
 
Si angesubiri azindue likishakamilika?

ndugu huzijui taratibu? mbona mradi wa Dart kauzindua wakati bado haujakamilika? Huyo ndio JK bwana hakuna kama yeye Tanzania. 2015 atatufanyia wepesi wa kurudi madarakani kwa utekelezaji wake wa ilani ya chama.

KWELI JK HATUKUKOSEA KUKUPA IMANI.
 
mkurugenzi wa nssf anasema;
anaanza nakushukuru;
nssf kwa kushirikiana na serikali inajenga daraja lenye uurefu m680 na barabara 6. watembea kwa miguu ni m2 kila upande hawatatozwa ushuru.
nssf itagaramia asilimia 60 na serikali 40 na kulipa gharama za fidia. ujenzi utagharimu bil 214.6 na utachukua miaka 3. eneo la mladi limekabidhiwa 1.mwezi 2. mwaka huu. hili mnalo liona ni daraja la mda la kuwasaidia wajenzi. daraja litakuwa upande wa kulia wa hili. mia
 
baada ya wimbo wa taifa kuimbwe imeingia bendi ya matarumbeta ambayo katika wimbo wao walikua wakisema" ambao hawaoni mambo yanayo tendwa na ccm hawana macho. wamesema wale wanao zunguka nchi nzima kutangaza uongo wakija mwembe yanga wataonyeshwa hili daraja.
wageni wakiopo ni;
kabaka, fenela mkangara, Hawa gasia,thelesia uviza, injinia rwenge, dr.makongoro, magufuli atakuja baadae, katibu wa ccm dar, wakuu wa wilaya za dar. mtemvu,ndungulile, azan, madabida,maliam kisangi,mameya wote wa dar. mia

Daraja linajengwa na kutumia kodi za watanzania, ccm hawajengi daraja ni serikali inasimamia ujenzi kwa niaba ya wananchi wa tanzania. Pumbavu zao wanataka kusema ccm ndio inalijenga hilo daraja?
 
ndugu huzijui taratibu? mbona mradi wa Dart kauzindua wakati bado haujakamilika? Huyo ndio JK bwana hakuna kama yeye Tanzania. 2015 atatufanyia wepesi wa kurudi madarakani kwa utekelezaji wake wa ilani ya chama.

KWELI JK HATUKUKOSEA KUKUPA IMANI.
Mkuu hapo kwenye red sijakuelewa. Wepesi wa kurudi madarakani? unamaanisha mlishawahi kuwepo madarakani, mkatolewa na sasa mnataka kurudi au?
 
Sept 2010, Rais Kikwete - "Daraja la Kigamboni tutalijenga, NITALIZINDUA".

Sept 2012, rais Kikwete azindua ujenzi wa daraja la Kigamboni.

Asiyeshukuru kwa kidogo, hata akipewa kikubwa atanuna.

Hongera Mh. Rais kwa kutekeleza ahadi...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom