Siku ya kwanza,kichekesho cha kwanza...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Eti Mawakili Wasomi wanambishia Wakili Method Kimomogoro kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali asiwekwe upande wa Mh. Lema kwenye rufaa yake.

Kwani, Mahakama Kuu, AG alikuwa upande gani? Wa Lema. Nini kinachomwamisha sasa Mahakama ya Rufani kwenda upande wa Wajibu Rufaa? Hii si rufaa ya Lema dhidi ya Serikali. Ni Lema dhidi ya waliokuwa Walalamikaji Mahakama Kuu.

Mawakili wa Warufaniwa waache kuweweseka mapema hivi. Rufaa itaendelea tar 2 mwezi ujao saa tatu asubuhi...
 
Wanazidi kujichanganya Tundulisu akiwambia wanaanza kulia!
 
Lema atashinda halafu watasema hakim aliyemvua lema ubunge alichemka,halafu ni upepo utapita tu
 
Ninichunifurahisha Tarehe 2 October itakuwa Ijumaa... so weekend itakuwa bomba bomba!
 
Back
Top Bottom