Kauli za Slaa na mauaji ya raia wasio na hatia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli za Slaa na mauaji ya raia wasio na hatia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kalikenye, Sep 18, 2012.

 1. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Ndugu wanajamvi, Leo katika kupitia kumbukumbu zangu, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya nitafakari na kuunganisha dots na ku cross ts na kupata jibu juu ya vifo vya watz katika mikutano ya CDM.

  Katika pekua yangu nikakutana na Slaa akiwahutubia na kuwataka wananchi waende Polisi kuwatoa viongozi wa CDM waliokuwa wamekamatwa na Polisi wa Arusha kwa kufanya maandamano haramu. Ni kutokana na kauli hiyo, watu wakaelekea kituoni na matokeo yake, watu 2 wakafa.

  Lau kama isingekuwa kauli hiyo, nchi isingeshuhudia mauaji hayo.

  Kauli nyingine chonganishi, zilizotolewa na huyo Slaa, ni ile ya Moro pamoja na Iringa na matokeo yake yanajulikana. Ni kutokana na ukweli huo, ninadiriki kutamka kwamba Mikono ya Slaa ina damu za watz waliouwawa katka shughuli za CDM na ninaamini kuwa katika umri wake pamoja na historia yake ya kupitia kwenye utumishi wa mungu, anapaswa kutubu na kuomba msamaha kwa mungu wake pamoja na watz kwa ujumla.
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Jamani kaulo ni nini?
   
 3. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Ndo nini? Husomeki
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nauliza tena kaulo ni nini?Au ni neno jipya la kiswahili?
   
 5. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Ni pen sliperly. It means KAULI
   
 6. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,927
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Karushe maji ulale
   
 7. A

  Alhabaad Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mtu ambaye kaiba mke wa mtu alfu akazini nae mpaka akamzalisha unategemea atakuwa na kheri!!!
   
 8. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,804
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Napita baada ya kushuhudia Madrid wakikung'uta mtu.
  Wasiosoma ni chakula ya wasomi.
   
 9. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,717
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  was a wonderful game....
   
 10. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,960
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Mbona makubwa zaidi yanakuja, mbinu chafu za ccm kutumia majeshi zitagonga mwamba kila siku mpya inapoanza. CCM wanalinda utawala wao uliofitinika kwa gharama zozote.
   
 11. K

  KGARE Senior Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii thread sio ya mwenye hoja, itaishia michango ya matusi na kishabiki tu.
   
 12. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  We utakua shabiki wa man city unastress za kukung'utwa vitatu. Kakojoe ulale
   
 13. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Kwani wewe tayari?
   
 14. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Kwani lazima utukane?
   
 15. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,478
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Mtoa hoja jipime kichaa chako kipo stage gani?
   
 16. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Hicho kibabu kinachoitwa dr.silaha sijui gobole kitakuwa cha kwanza kwa wanasiasa wa Tanzania kutiwa motoni, huwezi kutumia ujinga wa watu ili kujikuza kisiasa and to get away with it, lazima awajibikie moto kwa mauaji ya vijana wasio na hatia unless afanye confession na toba.

  Bila watu wajinga chadema isinge pata umaarufu, maana sera zao mbovu zisizotekelezeka na umahili wa viongozi wa chadema katika kujenga hoja hauna nafasi ndani ya jamii ya watu wanao-argue, jamii ya watu wenye uweredi na jamii ya watu wazalendo wenye msimamo wa wanayoyaamini.

  Chadema imejizolea vijana wajinga kwa kufuata na kutekeleza ile kauli isemayo "wajinga ndio waliwao" na kuwatumia katika operesheni zao za fujo na shari, matokeo yake vijana hao wanaishia kuuwawa ili watumie mauaji hayo kujengea chuki kati ya wananchi na serikali yetu.


  Jamii ya watu kama mimi ambao hatutawaliwi kimawazo wala kifikra ndio tunaweza kuona "udikteta wa magwanda" ila ukikurupuka unaweza kuitupia lawama serikali au jeshi la polisi juu ya vifo vya watanzania wenzetu ambavyo vinasababishwa na magwanda.

  Badilika ubadilishe taifa.
   
 17. sheiza

  sheiza JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,961
  Likes Received: 1,780
  Trophy Points: 280
  Zinaitwa fikra mgando na mawazo s.h.o.ga hayo..
   
 18. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,322
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  Nilicho kipenda kwako ni style yako ya kutunza kumbukumbu, basi, vingine ni pumba tupu! Mkuu, kwa taarifa yako kwa Arusha, kilicho anza sio viongozi wa CDM kufungwa, kilicho anza ni kuuawa kwa watu 2 then viongozi kadhaa, akiwepo na Dr. Slaa mwenyewe, Ndesambulo, Mbowe Lema n. k then wananchi waka React! haikuwa kauri ya Dr wa ukweli, usipotoshe kumbukumbu za watu, Halafu hebu tukumbushe, hivi Morogoro Dr. alisema nini, maanake naona kama umetoa hoja za jumla jumla tu, in other words kumbe Dr. Slaa ndo aliwaambie polisi wamuue Mwangosi kwa Bomu? so kama Dr. anaweza kusikilizwa na hadi police, kumbe yeye ndo rais wa nchi sasa, au mkuu mi ndio sijakuelewa?
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Kumbe mke anaibwa, mi nikajua anapigwa sound?
   
 20. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Tatizo wao wenyewe huwa hawatokei maeneo ya tukio wanakimbia wanaacha wananchi wasio na hatia.
   
Loading...