Kabla rais ajajibu barua ya CHADEMA, kwanza Mnyika aeleze mauaji ya kada wa CCM Singida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabla rais ajajibu barua ya CHADEMA, kwanza Mnyika aeleze mauaji ya kada wa CCM Singida

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmwaisoba, Sep 20, 2012.

 1. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Navishangaa sana vyombo vya habari hasa magazeti yanayochapishwa na frreemedia. Hakuna haja ya kukuza kila habari inayotoka chadema hata kama ni tata. Leo hii wameandika eti chadema yamlima barua jk aeleze kuhusu mauaji ya wanachadema kwenye mikutano yao. Nakumbuka sana mheshimiwa mnyika aliitisha mkutano kule singida ambao uliishia kwa kada wa ccm kuuwawa kinyama na wafuasi wa chadema. Sasa wakristo wanasema toa kwanza boriti kwenye jicho ndipo utafute vibanzi kwenye macho ya wenzako. Ni vema chadema yenyewe inajitathmini kabla ya watu wengine kujibu kuhusu haya mauaji
   
 2. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rais Kikwete ni kumuonea. Sababu ya mauaji inafahamika ni watu kukataa kutii sheria pasipo shuriti. Ilifahamika kabisa kuwa wakati wa sensa kusiwe na vuguvugu za kampeni. Sasa mwanasiasa aliyetayari kuhujumu sensa kwa visingizio vya kampeni za kisiasa nadhani inabidi ajipime mara mbilimbili kama kweli ananafasi ya kuendelea kutafuta madaraka Tanzania. Inabidi wanasiasa waondokane na dhana ya kuharibu mambo tu eti kwa vile hawakuchaguliwa na wananchi
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,236
  Likes Received: 12,949
  Trophy Points: 280
  sijawaelewa kwani ni freemedia tu ndiyo imeandika?
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sheria ipi, hebu tuwekee hicho kifungu cha sheria hapa. Na pia hiyo sheria inawahusu CCM, na Dr Bilali anaifahamu hiyo sheria?
   
 5. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani Freemedia inauhusiano na Mwananchi Communication. Mara nyingine wanasahau ukisoma habari utakuta kama imeandikwa na mtu mmoja. Halafu wanasema na mwandisha wetu. Sasa cha msingi ni magazeti kuwa na uchambuzi kidogo wa habari maana kwa mfano kule mwanza Tanzania Daima ilisema waziri mkuu azomewa apokelewa na peoples power. Lakini kwa tuliokuwapo kwenye eneo la tukio unaona kwamba wazomeaji walipangwa, na walikuwa ni wachache kuliko waliokuwa wakimsikiliza waziri mkuu. Lakini kwa vile lengo ilikuwa ni kuipaisha hiyo people power ikabidi gazeti liandike hivyo. Hata leo story kubwa katika mwananchi na Daima ilikuwa inafanana JK alimwa barua. Duh wanahdishi muweke akiba, tutawauliza haya siku moja siye tunaweka tu magazeti. Bado tunayo yale mliyokuwa mnatuandikia 2005 kuwa JK anatisha, JK ashuka kama mwewe, sasa mmeamia kwa bwana slaa
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mnyika aulizwe kwani anaongoza serikali..mauwaji ya singida liulizwe jeshi la polisi na Mwigulunchemba
   
 7. M

  Molemo JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Aulizwe Burn Karudi
   
 8. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi we wa poti,
  Kazi ya ulinzi na usalama wa raia nchi hii ni ya nani?
  hicho chama unachokisema, ndio kina polisi wa kupeleleza mauaji?
  au wao ndio wana vyombo vingine vyote vya ulinzi na usalama?
  au wewe ndugu yetu unajadili hili jambo kisiasa?
   
 9. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Sheria inayokataliwa adhabu yake siyo kifo!!!!!! Au ukikojoa hadharani unapigwa kombora la masafa ya kati kwa kuwa ni kosa kukojoa hadharani!!!

  Usiwasingizie wananchi ya kuwa walimchagua jk. Yeye alitangazwa na makame, hata ukirejea hizo sheria za uchaguzi utanielewa.
   
 10. t

  tenende JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Katokea wapi huyu? Mbona nimesikia wame-mmwakyembe, halafu waka-mmwandosya na baadaye kum-uulimboka!.
   
 11. t

  tenende JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ndoa na udini vinateesa!
   
 12. t

  tenende JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama ugonjwa wa kuwashwa washwa unamnyemelea vile!..
   
 13. t

  tenende JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo unasherehekea mauaji ya mwangosi?
   
 14. M

  Mboko JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wengi waliojiunga juzi juzi hapa kwa JF ambao nina uhakika ni wanafunzi wa kile chuo cha kata pale Dodoma wanakiita Udom yaani utakuta wanaandika pumba pumba kama alizoleta huyu Mmwaisoba ambaye kajiunga juzi tu 20may2012 ss hii nyuzi yake ni pumba kabisa kabisa ati Freemedia ndio zimeandika tu kuwa Chadema wamemlima Jk barua hivi kama husomi news hauna haja ya kuandika pumba wakati magazeti yote yameandika the same hebu soma vitu kwanza uelewe then mwisho wa siku usijeandika ushuzi huu tena
   
 15. K

  Keltony Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yetu unaskitisha sana. Hivi kweli hata ili la ukimya wa Rais kuhusu mauaji ya raia wasio na hatia halikugusi hata kidogo. Hapa nina wasiwasi labda wewe ni mkimbizi maana huna uchungu kabisa juu ya damu ya watz iliyomwagika.
  Kitu kingine ambacho ndugu yetu unashangaza ni kutojua tofauti ya kifo hicho cha huyo uliyemwita kwamba alikuwa mwanachama wa ccm. Huyu nduguyo hatakama aliuawa na wanachadema, hatutegemei yeyote kuhojiwa bali waliotekeleza mauaji kuchukuliwa hatua za kisheria na pengine haki ikatendeka. Vifo anavyohojiwa Raisi ni vifo ambavyo vimetekelezwa na jeshi la polisi ambalo kimsingi ndilo lenye dhamana ya kuhakikisha kuwa wananchi wanafuraia haki zao za msingi, ikiwemo haki ya kuishi bila mtu mwingine kukatisha uhai wao. Sasa wao wanapogeuka kua wauaji lazima raisi ahojiwe maana yeye ndiye amiri jeshi mkuu.
  Halafu hilo swala la sensa mnalikuza tu, hivi mbona kampeni za ccm katika uchaguzi mdogo uliofanyika karibuni huko nzanzibar zilikuwa zikifanyika, lakini pia hivi ni shughuli za kisiasa tu ndizo serikali iliziona, mbona shughuli nyingine kama kilimo, biashara, kazi za ofisini ziliendelea kama kawaida. Lakini kubwa la kushangaza ni kwamba katika juma lote la pili la nyongeza kulikuwa na matangazo yaliyokuwa yakielekeza wananchi ambao bado hawakuhesabiwa, waende wakaripoti katika ofisi za mitaa, hii inaonyesha kuwa sensa ilishakamilika ila sasa ilibaki sensa ya iyari kwa wale tu ambao hakuhesabiwa.
  Sikunyingine unapopost kituchako jaribu kufikiria kiundani, alafu uje nakitu ambacho kitakuwa na manufaa kwa jamii. Usitafute umaarufu, wewe unamtetea raisi anakujua wewe, pia kama unazani anaonewa alitaka madaraka ya nini. He must responsible as much as we want him to be.
   
 16. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  sababu:binadamu hali fisi ila fisi hula binadamu
   
Loading...