Amekuwa kwenye misuguano ya mara kwa mara na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo tangu 2010, kikidai kuwa amekuwa akitumia wadhifa wake kukikandamiza katika harakati zake za kisiasa jijini Arusha...
Mimi ni mwenyeji wa Kigoma mjini lakini niko nje ya mkoa kwa muda mrefu, ningependa kujua matokeo ya uchaguzi wa CCM mkoa wa Kigoma , mwenye taarifa naomba anijuze au bado haujafanyika.?
SIASA za makundi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimetajwa kuwa chanzo cha kuangushwa kwa Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye katika nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (Nec), kupitia...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inatuhumiwa kuwatelekeza mabalozi wake wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi...
Kati ya watu waliokuwa washabiki wa Dr Slaa katika Chadema ambao huwa anamtaja Dr Slaa mara 20 ktk makala yake ni Samson Mwigamba, mkiti wa Chadema mkoa wa Arusha. Na ndugu huyu huyu akaja kupata...
Mwandishi wa muda mrefu Mayage S. Mayage ambaye aliwahi kuingia katika mvutano mkubwa na chama cha demokrasia na Maendeleo-CDM kutokana na makala zake leo amempa somo kubwa mbunge wa kigoma...
Hakuna asiyefahamu kwamba Dr.Slaa is a Public Figure, kila jicho linamtazama yeye atasema nini, atafanya nini na n.k. Nimetafakari sana juu ya mwenendo wa chama na hatimaye nikapata jibu moja...
Ziwa Nyasa linawaliza Wamalawi kwa Kasi ya AjABU hivi juzi Rais wa Malawi mama Banda au Joyce Banda Ametangaza kusitisha mazungumzo na Tanzania kwa kusema kwamba qamwshoka na Vitisho wanavyopata...
ALHAMISI, OCTOBA 04, 2012 04:33 NA WAANDISHI WETU
*Mhandisi Makani atupwa nje Tunduru
ALIYEKUWA mbunge wa Igunga, Dk. Dallal Kafumu, amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)...
Nimepitia makala hii kwa umakini sana nakuona dhahiri uyu mhariri wa mwananchi moses mashala ndani ya ukurasa wa 11 wa gazeti ameipamba cuf kana kwamba kama vile hawa ccm b wameiteka arusha...
Imeandikwa na Jeremiah Vitalis | Habari Leo | Oktoba 04, 2012
WIZARA ya Nishati na Madini imegundua ‘madudu' katika sekta ya madini, ikiwamo utoroshaji wa madini ya tanzanite kwa punda na...
Takribani miezi miwili na ushei tangu Bodi ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuwasimamisha kazi viongozi wakuu wa shirika hilo akiwamo Mkurugenzi Mkuu, William Mhando na wenzake watatu kwa...
ALHAMISI, OCTOBA 04, 2012 04:35 NA ELIZABETH MJATTA
*Ni Zainabu Vullu wa viti maalumu mkoa wa Pwani
*Nape asema uchunguzi dhidi yake bado unaendelea
*Asisitiza hata akishinda uchaguzi leo...
Wasaalam wakuu,kipande cha barabara cha mita 5 ,kimemchukua makandarasi zaidi ya mwaka kutengeneza na sasa ni kama kimekamili japo kwa kiwango cha chini sana! Na wameifunga kwa kuweka katapila...
Mbunge wa Nyamagana-MWANZA Ezekiel Wenje na aliyekuwa diwani wa kata ya Sombetini-ARUSHA kupitia CCM kabla ya kujiuzulu na kujiunga CHADEMA bwana Alphonce Mawazo,watazindua kampeni za CHADEMA kwa...
M4C ipo Simanjiro, Jana walifanya mkutano kwenye kijiji cha Sukro, masaini Kabisa. Leo watafanya kwenye kijiji cha Terat ambayo ni centre kubwa kulinganisha na Sukro. Ni operesheni ya siku Tatu...
Nashauri iwe hivyo kwasababu huyu bwana ameweza kusaidia ujenzi wa shule za kidato cha tano na cha sita katika wilaya ya Hai ukizingatia kila tarafa amejitahidi kujenga shule za kidato cha tano na...
Suala la chama cha mapinduzi kuwaepusha wagombea wao na midahalo ya wazi 'debates' kutokana na kutowaamini kiuewezo, imepelekea ofisi za umma kukaliwa na matango pori eti viongozi. Debate...
Takribani miezi miwili na ushei tangu Bodi ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuwasimamisha kazi viongozi wakuu wa shirika hilo akiwamo Mkurugenzi Mkuu, William Mhando na wenzake watatu kwa...