Tundu lissu kufanya mkutano leo Arusha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tundu lissu kufanya mkutano leo Arusha!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jaffary, Sep 29, 2012.

 1. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Atakuwa kwa pamoja na aliyekuwa mbunge wa arusha bw. Godbles Lema eneo la mwanama.
   
 2. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Saa ngapi mkuu?
   
 3. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Chadema bila NMC ni sawa na kusema CCM bila Chamwino.
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,783
  Likes Received: 36,779
  Trophy Points: 280
  Wanaweza kufunga viwanja vyote ila hawawezi kufunga mioyo yetu.
  NMC its a merely piece of land we dealing with people.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 5. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mfa maji haishi haishi kutapatapa, mwisho wa chadema arusha umefikia mwisho.
   
 6. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona CDM wame-concentrate sana Arusha? Kila kukicha mkutano Arusha! Maeneo mengine vp? I am just trying to be curious!
   
 7. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mfa maji haishi haishi kutapatapa, mwisho wa chadema arusha umefikia mwisho.
   
 8. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mtoa mada vip mbona unatoa habari nusunusu?

  Ni maandalizi ya kampeni za uchaguzi wa udiwani zinazo tarajia kuanza mapema hivi karibuni.
   
 9. N

  NO EXCUSE JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 406
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  KAMA ILIVYO CUF KUANZA NA KUPOPOLEWA MAWE? Nafikiri huo pia ni mwanzo wa aina yake kwa Cuf Arusha kwi kwi kwi kwi kwi.... ... ...
   
 10. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kwa hiyo nyie wafuasi wa magamba ndio mtakuwa huku Arusha sasa hivi.?
   
 11. v

  valid statement JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  ndoto za alinacha hizi
   
 12. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  CUF ngangari adui yetu ni CCM. Dont miss the target.
   
 13. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mtatiro:

  Mbona unakuja kwa kujificha sana? Kuwa wazi tu au mnataka kusingizia kuwa na hiyo mikutano inafayika kwa lengo la kuwahujumu?

  Wafa maji ni nyie ambao ni wapinzani wa upinzani nchini.hi haijawahi kutokea mahala popote duniani.
   
 14. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hapana mkuu, sema sehemu nyingine wadau hawapo active kuleta update kama wana arusha.
   
 15. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Utasubiri sana wewe uwamsho
   
 16. u

  ureni JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Lissu namkubali ni mpiganaji mzuri sana kaweza kutoa ukweli kuhusu udhaifu wa majaji wa TZ kweli nakukubali mkuu nani angethubutu...
   
 17. m

  maganason Member

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  we cuf ngangari!!!hiv mmetumwa na nan na ili iweje!!!??swali kwako lengo lenu kuchukua dola na kuitoa ccm iliyoshika dola au lengo lenu ni kushambulia wapinzan wenzenu!!!???Tumien akili kidogo tu!!!
   
 18. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Naona watu ndio wanaingia ila idadi ya watu bado ni ndogo sana!
   
 19. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  ndoa yko na ccm inakupa jeuri....
   
 20. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  ndo wale walio olewa na ccm?
   
Loading...