Kwa wanasiasa, waandishi wa habari na wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanasiasa, waandishi wa habari na wana JF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Informer, Sep 30, 2012.

 1. Informer

  Informer JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2006
  Messages: 1,224
  Likes Received: 2,437
  Trophy Points: 280
  Video hii chini nimeangalia na kubaini kuwa inatugusa wote. Bahati mbaya simu hii hii ninayoitumia kuandika ndiyo nilikuwa naitumia kufuatilia mjadala huu.

  Kwa walio kwenye PC wanaweza kuandaa maelezo kwa ufupi kwa wale wasio na aksesi na video hii ili wajue nini kinaongelewa.

  Nimependa jinsi UN inavyojiandaa kukabiliana na serikali zinazokandamiza vyombo vya habari, waandishi wa habari na tovuti zinazozikosoa serikali hizo.

  Video yenyewe ni hii:

  UN Live United Nations Webcast - - L.6 Vote, Item:3, 37th Meeting - 21st Regular Session of Human Rights Council
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hii itakuwa poa sana hasa kwa serikali kama hii ya kwetu!
   
Loading...