Nyufa zaongezeka CCM, matokeo ya uchaguzi ngazi ya wilaya yazua mambo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyufa zaongezeka CCM, matokeo ya uchaguzi ngazi ya wilaya yazua mambo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Maseto, Sep 29, 2012.

 1. M

  Maseto JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 721
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Matokeo ya uchaguzi mkuu ndani ya chama yanazidi kuzua balaa.kwa mfano,uchaguzi uliofanyika leo kule masasi umezua mambo kiasi cha kuöngeza vyufa.wale walichaguliwa kwa nafasi za mwenyekiti wa wilaya na mjumbe wa Nec wataongeza migongano kwa kuwa si rika la kuweza kupambana na mikikimi ya sasa.MTU UNATAKIWA KUMJUA ADUI YAKO KULIKO UNAVYOjijua mwenyewe.
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Nyafa ni nini?
  Vyufa ni nini?
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  wewe uligombea nafasi gani mkuu Maseto!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...