Polisi kuwatawanya wamachinga kwa nguvu Arusha Kesho? Wataua tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi kuwatawanya wamachinga kwa nguvu Arusha Kesho? Wataua tena?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by gagonza, Sep 28, 2012.

 1. g

  gagonza JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 309
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kwa taharifa nilizo zipata jioni hiii toka kwa ffu tunaofanya nao mazoezi walinipasha kuwa kesho au keshokutwa watavamia eneo hilo kuwafukuza wamachinga, wameshapewa taarifa wajiandae kwa kazi hiyo walikuwa wanansubiri mkutano uishe.
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  hilo linajulikana wawaondoe bila kuwavurumisha matumbo wala kuwakata vichwa na wakawaonyeshe pa kufanyia biashara
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,161
  Likes Received: 10,508
  Trophy Points: 280
  Wakati wanawaondoa na wawaoneshe pia mahali pa kufanya biadhara zao...
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ningeona halmashauri ya manispaa ya arusha wana akili kama wangepanga mkakati wa kumuondoa mvamizi wa kwanza wa eneo hilo.
   
 5. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Muda mfupi ujao watanzania tutaingia kwenye simanzi kufuatia amri iliyo tolewa kwa jeshi la polisi kutumia nguvu kwa kadri itakavyo wezekana kuwatoa wamachinga walio jigawia maeneo ya biashara katika eneo ambalo lipo Kilombero linalo daiwa kuuzwa kwa mtu binafsi.

  Katika juhudi za kutafuta taarifa nimefanikiwa kuongea na jamaa mmoja kutoka jikoni akanihakikishia kuwa muda wowote FFU kutoka Babati, Karatu na Moshi watawasili kutekeleza amri.

  Aidha inasemekana Mkuu wa mkoa amejiandaa vyema na mkuu wa polisi kwa kuiua Chadema kwakile wanacho dhani kuwa Chama hicho ndicho kinachowapa jeuri wa machinga.

  Ikumbukwe mzozo huu unatokana na sakata linaloendelea Arusha kwa machinga kutaka maeneo ya biashara.

  MUNGU IBARIKI TANZANIA
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,827
  Trophy Points: 280
  Subiri tuone, hata hivyo hawawezi kuuwa watanzania wote!
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  lets wait and see!
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nitajitahidi kuhudhuria nione kwa macho!
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Yaa kwa kuwa wanajua ni ngome ya CDM ni lazima wamwage damu!! Ila time will tell, 2015 is closer!!! Matendo ya serikali ya chama tawala na kutumia vyombo vya usalama kuendesha udikteta yataleta majivu. Long live poor Tanzanians suffering at the expense of mafisadis!!! Ni nani mmiliki wa kiwanja hicho, yaani aliyeuziwa eneo hilo la manispaa? Kwa utaratibu gani? Wa tenda au? Je mnispaa zilikosa hela za ruzuku au ni kitu gani? It does not click in my head!! Shame on you.
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  nadhani polisi watawasili mida ya alfajiri sana!
   
 11. r

  raymg JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 845
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wameshapata makaburi ya kutosha? Risasi za kutosha? Mabomu ya kutosha? Magereza ya kutosha? Maana wamachinga wapo wengi kweli......
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  si eneo lilitengwa kwa ajili yao?
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  lile ni eneo la wazi,sio soko.
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  serikali yetu inatuua kirahisi rahisi tu. Haituthamini na wala hatuna thamani yeyote mbele ya wageni. Je tutakuwa wageni wa nani sisi?
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  MUNGU akitujali tutajua mbivu na mbichi!

  Na ikiwezekana walete ccp wote wa hapo Moshi kwn hawatatosha na hata magari ya silaha ziweke kambi pale,kwn ni lazima wanainchi tuchukuchue eneo lile!

  Hata waje na jk haijalishi!
   
 16. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  mguu sawa ... camera zote zirshategeshwa kila kona ya eneo la tukio ... tunasubiri kuona picha za wauaji wa kidhalimu kama tilivyoshuhudia mauaji ya nyololo
   
 17. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Eneo la NMC ni dogo sana na halitosh kwan machinga Arusha niweng xn. Hii ndiyo sababu iliyo wafanya waliokosa NMC waende pale Kilombero. RPC tunasubiri utimize ahadi ya kuua Chadema
   
 18. M

  MI6 Senior Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  itafahamika mwaka huuu....
   
 19. 2

  2000yrs Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu jackbaur policcm watakuja early in the morning. machinga wajimobilize wakeshe hapo. km eneo lilitengwa for them na likauzwa kifisadi kwa fisadi then the right to defend it is inevitable. wakeshe kulilinda.
   
 20. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  Ngoja nisuviri nione
   
Loading...