Moto unafuka CHADEMA Mwanza

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
145
Tayari dalili mbaya zimejitokeza kwa chama ambacho kinapoteza sifa na upendo kwa wananchi kwa kasi kila kukicha. Kamati kuu ya CDM inatarajiwa kukutana Jumapili wiki hii kwa dharura ili kuwafukuza madiwani wawili wa Mwanza pamoja na mbunge wao kwa usaliti na kusababisha kupigwa chini katika uchaguzi wa umeya.

Wakiwafukuza tu ndiyo mwisho wao huku Mwanza.
 
Wakiwafukuza tu ndiyo mwisho wao huku Mwanza.[/QUOTE]

Wakiwafukuza ndio chama kitahimarika na wafanye mapema cheleachelea .....?siku zinaenda inabidi wawatose baharini wajipange upya.
 
Tayari dalili mbaya zimejitokeza kwa chama ambacho kinapoteza sifa na upendo kwa wananchi kwa kasi kila kukicha. Kamati kuu ya CDM inatarajiwa kukutana Jumapili wiki hii kwa dharura ili kuwafukuza madiwani wawili wa Mwanza pamoja na mbunge wao kwa usaliti na kusababisha kupigwa chini katika uchaguzi wa umeya.

Wakiwafukuza tu ndiyo mwisho wao huku Mwanza.
Mkuu habari ilikuwa nzuri sana, lakini mawazo yako yamechafua kila kitu. Ulitakiwa ubaki katika subject without adding your personal opinions/feelings.
 
Tayari dalili mbaya zimejitokeza kwa chama ambacho kinapoteza sifa na upendo kwa wananchi kwa kasi kila kukicha. Kamati kuu ya CDM inatarajiwa kukutana Jumapili wiki hii kwa dharura ili kuwafukuza madiwani wawili wa Mwanza pamoja na mbunge wao kwa usaliti na kusababisha kupigwa chini katika uchaguzi wa umeya.

Wakiwafukuza tu ndiyo mwisho wao huku Mwanza.

Kwani idadi ya wana cdm ni watatu tu?
 
Tayari dalili mbaya zimejitokeza kwa chama ambacho kinapoteza sifa na upendo kwa wananchi kwa kasi kila kukicha. Kamati kuu ya CDM inatarajiwa kukutana Jumapili wiki hii kwa dharura ili kuwafukuza madiwani wawili wa Mwanza pamoja na mbunge wao kwa usaliti na kusababisha kupigwa chini katika uchaguzi wa umeya.

Wakiwafukuza tu ndiyo mwisho wao huku Mwanza.
Mkuu hivyo ni Mwanza gani nunaisemea haya? Itachukua muda kwa wakazi wa Mwanza hasa Ilemela na Nyamagana kuwa na mawazo hayao unayosema, waulize viongozi wakuu wa hapa nchini Mwanza ikoje utagundua hawa jamaa hawapo hivyo unavyofikiria, kifupi jamaa wapo mbele sana katika mapinduzi ya kifikra, hawaongozwi na matukio bali wanachambua matukio na kuona kipi ni mchele na kipi ni pumba, kumbe hakuna Propaganda hapa, fanya utafiti uone kata ya Mkolani uone matatizo ya ugawaji wa viwanja ulivyokuwa sugu hasa maeneo ya kandokando ya Ziwa na Nyahingi ndipo utagundua kazi liyopo ilivyokuwa kubwa.
 
Mzimu wa Matata na Chagulani unazidi kuitafuna Chadema.
 
Hali ya mambo c shwari Cdm mwanza ,huo ndio ukweli mchungu
Wakati mwingine mtu analazimika kujibu ili kuusaidia umma usiendelee kupotoshwa:-
1.Kwa ufahamu wako, kati ya meya na mbunge ktk eneo husika, nani anatokana na watu moja kwa moja, na niyupi
wanayemfahamu watu kati ya hao wawili?.
2.Ni yupi anayetokana na watu wengi kati ya aliyepata kula 11 zenye hila na mikakati mizito, na aliyepata kula zaidi ya
20,000?.
3.Sio swala la "sizitaki mbichi hichi"kama wengi wanavyojaribu kuwavunja moyo watu, lakini unawezaje kufikia malengo u
liyoweka ktk mazingila yenye hujuma za ndani na nje ya chama ili uonekane huwezi?.
4.Kwa uharisia wa nguvu iliyotumika ili CCM ishinde, ni dalili tosha kuwa ipo pressure kubwa ya CDM sasa na zaidi
2015,inayoichanganya CCM.
5.Nadhani ni bora CCM ikapata nafasi hii sasa ili iitumie serikali yake kufikia ufumbuzi wa matatizo makubwa ya ardhi
(hasa Luchelele - Nyamagana) na kwingineko, vinginevyo hali yake itakuwa mbaya sana kwake 2015 kwa
Nyamagana na Ilemela.
Mwisho, niwatakie utumishi mwema walioshinda ili watimize wajibu wao katika kutatua shida za wakazi wa jiji, na wasipo fanya yale ambayo najua yamewashinda miaka mingi wakiwa madarakani, basi itakuwa histori.
 
Umesema kamati kuu itakaa tena jumapili kuwatimua madiwani 2 na mbunge wao tena?
 
Kazi kubwa ulonayo ni kujidanganya mwenyewe, babako, mamako na familia yako. Ukizidi hapo utawadanganya wa kwenu. Kamwe huwezi kutudanganya wanachadema.
 
Huku chama cha mapinduzi kikisherekea ushindi wake wa kiti cha meya mwanza, wananchi wengi wanaonekana kubeza hali hiyo huku wakionesha uchache wa watu waliofanya maamuzi na wingi wa pesa za chama katika kushawishi. wengi wakitoa maoni yao kwa kuangalia safu ya majina ya wagombea ilioletwa kwenye uchaguzi wa chama jiji mwanza kuwa ndiyo inayotakiwa kutazamwa kama kipimo cha uchaguzi wa mwaka 2015,''sa angalia safu yenyewe ni ya watu dhaifu waliolenga kuipa nguvu kambi moja ya uraisi,subirini vitendo"walibeza vijana katikati ya jiji niliofanya mahojiano nao.

wakiendelea kuonyesha mchanganuo wa udhaifu huo waliwagusa baadhi ya wagombea wa halmashauri ya jiji la mwanza(nyamagana) "hivi huyu mageuzi karudishwa kugombea nec na ndiye aliyesababisha vita vya kikabila kata ya maina akiwa mwenyekiti wa ccm kata hiyo baina ya wakurya na wasukuma,kotecha huyu diwani wa nyamagana muhindi anaevujisha siri za baraza la madiwani,masha unataka kuongelea kesi ya kamanga au sababu ya jiji kumkataa, amesema ameleta vijana swala si vijana bali vijana wa aina gani,mashaka kaguna mwenyekiti wa uvccm mstaafu aliyeshuhudia vuguvugu la mabadiliko" hayo ni maoni ya mmoja wa wakazi wa jiji. "wanaweza kushinda ila kiongozi huyu anapenda kuona ni walewanaomsaport,wasioweza kumkosoa,wanaounga mkono familiya na ujinga mwingine kama huo"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom