Teuzi Za Rais Kikwete Tangu Alipoingia Madarakani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Teuzi Za Rais Kikwete Tangu Alipoingia Madarakani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaldinali, Sep 29, 2012.

 1. K

  Kaldinali JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [FONT=&amp]Wakuu naomba tuzitazame teuzi za Kikwete tangu alipoingi madarakani. Teuzi hizi ziwe za viongozi wote wa idara, wizara, sekta na taasisi muhimu serikalini walioteuliwa na Rais - kasoro mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya.[/FONT]


  [FONT=&amp]Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Jaji Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania,kuanzia tarehe 28 DIsemba, 2010.[/FONT]

  [FONT=&amp]Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bwana Deos Khamisi Mndeme kuwa Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania. 26/09/2012[/FONT]


  [FONT=&amp]Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Ndugu Said Mwema kuwa Inspecta Generali wa Polisi Tanzania,kuanzia tarehe 3 march, 2006.[/FONT]  [FONT=&amp]Rais wa Jakaya Kikwete amemteua Bi. Hawa Magongo Mmanga kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kwa kipindi cha miaka mitatu. 25/09/2012[/FONT]

  [FONT=&amp]Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua bwana Othman Rashidi kuwa Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Taifa Tanzania,kuanzia mwezi August, 2006.[/FONT]

  Rais Jakaya MrishoKikwete amemteua Bwana Rished Bade kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlakaya Mapato Tanzania (TRA).[FONT=&amp] 19/09/2012[/FONT]


  [FONT=&amp]Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua BIBI MWANAHAMISI OMARI KITOGO kuwa MSAIDIZI WA RAIS, HUDUMA ZA JAMII. 08/05/2012[/FONT]

  [FONT=&amp]Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Ignus Paul Kitusi kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama (Chief Registrar) kuanzia tarehe 1 Julai, 2012.[/FONT]


  [FONT=&amp]Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama kuanzia tarehe 1 Julai, 2012. [/FONT]


  [FONT=&amp]RAIS Jakaya Kikwete amemteua Salim H. Msoma kuwa Mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya Ndege Tanzania ATCL. Uteuzi huo umeanza maramoja Juni 22, 2012.[/FONT]


  [FONT=&amp]Rais Jakaya Kikwete, amemteua Winfrida Beatrice Korosso, kuwa Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria nchini. 14/08/2012[/FONT]


  [FONT=&amp]Aidha, Mhe. Rais amemteua Bwana Benedict Bartholomew Mwingwa kuwa Msajili wa Mahakama Kuu (Registrar of the High Court) kuanzia tarehe 1 Julai, 2012.[/FONT]


  RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameteua wakurugenzi wapya tisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambao pia watakuwa na hadhi ya balozi. Uteuzi huo umeanza Mei 2, mwaka huu.Walioteuliwa ni Vincent Kibwana ambaye anakuwa Mkurugenzi, Idara ya Afrika; Naimi Aziz (Mkurugenzi, Idara ya Ushirikiano wa Kikanda); Celestine Mushy (Mkurugenzi, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa); Yahya Simba (Mkurugenzi, Idara ya Mashariki ya Kati), na Bertha Somi ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi, Idara ya Diaspora.Wengine ni Irene Kasyanju (Mkurugenzi, Kitengo cha Sheria); Dorah Msechu (Mkurugenzi, Idara ya Ulaya na Amerika); Mbelwa Kairuki (Mkurugenzi, Idara ya Asia na Australia) na Silima Haji ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi, Idara ya Mambo ya Nje, Zanzibar.
   
 2. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuzitazama tufanyeje? ....Jenga hoja mkuu.
   
 3. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Anatumia kichwa kufugia nywele badala ya kufikiri huyu,kuna chuki alitaka kuweka hapa nafsi imemsuta
   
 4. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  jina lako tu linaonyesha we ni mtu wa aina gani hivyo hata lengo lako kwa sisi wenye faham pana tumeshasoma na tumekupuuza
   
 5. g

  gnsulwa Senior Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 110
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nafikiri anataka kusema JK anapendelea waislamu .
   
 6. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180

  Naam, alitaka mpangilio kama huu hapa chini ila kashindwa kujenga hoja:  [FONT=&amp]Wakuu naomba tuzitazame teuzi za Kikwete tangu alipoingi madarakani. Teuzi hizi ziwe za viongozi wote wa idara, wizara, sekta na taasisi muhimu serikalini walioteuliwa na Rais - kasoro mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya.

  MOSLEMS[/FONT]

  [FONT=&amp][/FONT][FONT=&amp]Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Jaji Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania,kuanzia tarehe 28 DIsemba, 2010.[/FONT][FONT=&amp]

  [/FONT][FONT=&amp]Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Ndugu Said Mwema kuwa Inspecta Generali wa Polisi Tanzania,kuanzia tarehe 3 march, 2006.[/FONT][FONT=&amp]

  [/FONT][FONT=&amp]Rais wa Jakaya Kikwete amemteua Bi. Hawa Magongo Mmanga kuwa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kwa kipindi cha miaka mitatu. 25/09/2012[/FONT][FONT=&amp]

  [/FONT][FONT=&amp]Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua bwana Othman Rashidi kuwa Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Taifa Tanzania,kuanzia mwezi August, 2006.[/FONT][FONT=&amp]

  Rais Jakaya MrishoKikwete amemteua Bwana Rished Bade kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlakaya Mapato Tanzania (TRA).[/FONT][FONT=&amp] 19/09/2012[/FONT][FONT=&amp]


  [/FONT][FONT=&amp]Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua BIBI MWANAHAMISI OMARI KITOGO kuwa MSAIDIZI WA RAIS, HUDUMA ZA JAMII. 08/05/2012[/FONT][FONT=&amp]

  [/FONT][FONT=&amp]Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Hussein A. Kattanga kuwa Mtendaji Mkuu wa Idara ya Mahakama kuanzia tarehe 1 Julai, 2012. [/FONT][FONT=&amp]

  [/FONT][FONT=&amp]RAIS Jakaya Kikwete amemteua Salim H. Msoma kuwa Mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya Ndege Tanzania ATCL. Uteuzi huo umeanza maramoja Juni 22, 2012.[/FONT][FONT=&amp]

  RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameteua wakurugenzi wapya tisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambao pia watakuwa na hadhi ya balozi. Uteuzi huo umeanza Mei 2, mwaka huu.Walioteuliwa ni Yahya Simba (Mkurugenzi, Idara ya Mashariki ya Kati), na Silima Haji ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi, Idara ya Mambo ya Nje, Zanzibar[/FONT]


  [FONT=&amp] CHRISTIANS[/FONT]

  [FONT=&amp]Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bwana Deos Khamisi Mndeme kuwa Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania. 26/09/2012[/FONT][FONT=&amp]
  [/FONT]
  [FONT=&amp]Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Ignus Paul Kitusi kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama (Chief Registrar) kuanzia tarehe 1 Julai, 2012.[/FONT][FONT=&amp]

  [/FONT][FONT=&amp]Rais Jakaya Kikwete, amemteua Winfrida Beatrice Korosso, kuwa Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria nchini. 14/08/2012[/FONT][FONT=&amp]

  [/FONT][FONT=&amp]Aidha, Mhe. Rais amemteua Bwana Benedict Bartholomew Mwingwa kuwa Msajili wa Mahakama Kuu (Registrar of the High Court) kuanzia tarehe 1 Julai, 2012.[/FONT][FONT=&amp]

  RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ameteua wakurugenzi wapya tisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa ambao pia watakuwa na hadhi ya balozi. Uteuzi huo umeanza Mei 2, mwaka huu.Walioteuliwa ni Vincent Kibwana ambaye anakuwa Mkurugenzi, Idara ya Afrika; Naimi Aziz (Mkurugenzi, Idara ya Ushirikiano wa Kikanda); Celestine Mushy (Mkurugenzi, Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa); na Bertha Somi ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi, Idara ya Diaspora.Wengine ni Irene Kasyanju (Mkurugenzi, Kitengo cha Sheria); Dorah Msechu (Mkurugenzi, Idara ya Ulaya na Amerika); Mbelwa Kairuki (Mkurugenzi, Idara ya Asia na Australia) [/FONT]
   
 7. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Naona Mwanza imekufanya vibaya mpaka haujielewi.
   
 8. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,804
  Trophy Points: 280
  KWANI UONGO? na ndio maana mmegundua haraka hata kama yeye hajasema hivyo.
   
 9. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  MMESAHAU MAKUSUDI mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya ambao ni WAKRISTO 98%
   
 10. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,696
  Trophy Points: 280
  Hii thread italeta chuki tu. Kajadilini hayo kwenye vigango vyenu sio hapa
   
 11. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hizi hoja za upendeleo wa kidini tumeshazichoka humu. Kama mtu huna mada ya kutoa ni bora kusoma za wenzio, vinginevyo jf itaonekana ni kijiwe cha kuhamasisha uhasama wa kidini. Jina la Kardinali analotumia mtoa mada ni zito, na tunaliheshimu, asiligalagaze kwa hoja uchwara za udini. Tumuhumkumu JK kwa uwezo wa anaowateua (kama afanyavyo Tundu Lissu) sio kwa dini zao.
   
 12. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  JF inashushiwa heshima na hadhi yake, wachangiaji mmekuwa na akili za kukopa. Muda fulani mnaandika vitu vya maana huku muda mwingine mnaandika upuuzi hata usioweza kufikirika.

  Tunawaomba ma-mods mnapoona uzi umejaa pumba kama huu, wachangiaji wanaelemea kwenye udini, ukabila na ukanda. Au michango ya kukashfu watu moja kwa moja kama wengi humu walivyozoea kufanya, kwa viongozi wa serikali, muwe mnazifutilia mbali.

  Kwa namna hiyo, wachangiaji watatoa michango yenye hoja za maana ambazo haziambatani na kejeli, kashfa wala matusi. Ndipo heshima na hadhi ya JF itakapo rudi.

  MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 13. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kinyesi.
   
 14. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mbona hajataja akina jaji damian lubuva-tume ya uchaguzi, msechu-nyumba, ndoma-jeshi, samwel-jeshi nawengine wengi? Wanajanvi mmenifurahisha sana leo kwa kumueleza kadinali kinagaubaga bila kumficha kuwa hizi ni pumba isipokuwa ***** mmoja tu naye ni JERUSALEMU-mdini mkubwa kuyu.
   
 15. h

  hacena JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  sio jina lake avater tu hiyo kama kardinal top wa acudo
   
 16. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ni kutokana na kuwa na akili za 'MAITI'
   
Loading...