Matokeo ya uchaguzi CCM ngazi ya Wilaya ya Iringa mjini na wajumbe NEC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya uchaguzi CCM ngazi ya Wilaya ya Iringa mjini na wajumbe NEC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Sep 29, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  SATURDAY, SEPTEMBER 29, 2012

  WALIO KATIKA MAANDISHI YA BOLD NDIO WALIOCHAGULIWA  MWENYEKITI CCM WILAYA IRINGA MJINI
  Kura zilizopigwa 586 zilizoharibika 2 kura halali 584
  Omary Iddy Mchomba 62
  Eliudi Mvela 224
  Abeid kiponza 298


  MJUMBE NEC Idadi ya kura 538 kura zililozoharibika 14 kura halali 524
  Enock Ugulumu 62
  Michael Mlowe 86
  Vitus Mushi 243
  Mahmudu Madenge 281


  Zainabu kufakunoka
  Chiku masanja


  Nafasi ya wazazi halmashauri kuu nafasi mbili
  Donald 21
  Chande salum mbega 47
  Aloyce kibiki 141
  All mbata 269
  Bernad mbigili 244
  Shedraki Tito mkusa 334
  UWT nafasi nne
  Donisia Daudi 128
  Christina Mgongolwa 150
  Hellen Machibya 162
  Sarida ally 167
  Midaw William 204
  Halima hsaasn 266
  Ashura jongo 291
  Nikolina Lulandala 325
  Fatuma daudi 338
  UWT Vijana nafsi 4
  Barton Sanga 83
  Asaki oketo 152
  Pendo ojwano 188
  Nuru mwinuka 198
  Adam Ramadhan 235
  Ester Mobo 243
  Ally Simba 250
  Salum kaita 264
  Mwaija mwinyikayoka 270
  Clara Shirima 299


  MKUTANO MKUU WA TAIFA wajumbe watano
  Said Rubea 73
  George Mwaitege 74
  Mfamlopela luvambe 74
  Lukasi Mgongolwa 75
  Michael Mlowe 108
  Gidion Kikumbwe 83
  Emanueli Magoda 120
  Jurio Mgonja 127
  Bernad Mbigiri 132
  Fatuma Ngole 199
  Agusta Mtemi 192
  Abeid kiponza 235
  Amani Mwamwindi 311
  Fredriki Mwakalebela 321
  Salim Asas 346


  SATURDAY, SEPTEMBER 29, 2012 ~ COPYRIGHT: MICHUZI BLOG ~ MTUMIE RAFIKI YAKO , MAONI: 0
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Huyu Fredrick Mwakalebela alishikwa na TAKUKURU wakati wa UBUNGE kwa kutoa rusha akaenda MPAKA

  MAHAKAMANI
  Sasa Imekuwaje Ameshinda CCM-NEC ? Au Unakuwa TAPELI kwa MSIMU MMOJA TU ?

  Sasa huyu ni MWIZI anarudi ndani ya CCM ? AU!!!
   
 3. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  CCM Imetuharibia sana maisha yetu sasa wale wabaya wote ndo kimbilio lao lakini iko siku.
   
 4. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Fatuma Ngole kura 199 na Augusta Mtemi kura 192 lkn maajabu mleta mada katuambia mwenye kura 192 kambwaga mwenye kura 199!Ni makosa ya uandishi au?
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Who cares? Acheni wafu wazikane wenyewe.
   
 6. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Liwalo na liwe.
   
 7. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Mkuu, Mwakalebela aligombea kuwa mweka hazina wa mkoa. Matokeo yake vipi au??
   
 8. T

  Toshack Kibala Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa watu sijui vp huyu mwenyekiti ndiye waliyemtuhumu kuwa wakati wa uchaguzi mkuu 2010 aliidanganya NEC ikampitisha mtu aliyeshika nafasi ya tatu katika kura za maoni kwenye ubunge hivyo akaletwa mtu asiyetakiwa na wananchi hatimaye jimbo likachukuliwa na CHADEMA leo tena wamemchagua kwa mbwembwe nyingi hii inaashiria nini au ndiyo PENYE UDHIA........
   
 9. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  yaani hata haieleweki nape alisema mafisadi watoke,,,jk wafanya biashara waachane na siasa aaaaaaabwana eee hio ndio ccm mafisadi hoyeeeeeeeeeeeee.
  pinda awafukuza kazi wakurugenzi halimashauri kumbe wamepandishwa vyeo wamepangiwa kwingine mahali kama kahama wamegoma
   
Loading...