PICHA; Nassari Asikiliza Kero Za Wananchi Arumeru

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
Nassari MB akiwa na Jackson Makalla (chini kushoto mwenye Kombati) walipokuwa Ngarenanyuki jana
Nassari akihutubia na kusikiliza maswali ya wananchi
 
Asante mkuu kwa habari picha!! Ila kusema kweli hilo jukwaa sijalipenda hata kidogo,hilo linamfaa mtu kama maji marefu,siyo mtu aliyekamilika kama Nassary,najitolea kumpatia jukwaa lenye hadhi itakayokaribia haiba yake nisingependa kumuona juu ya jukwaa hilo tena,hongera Nassary kwa kuwa pamoja na wapiga kura wako, viva cdm,viva Ar meru.
 
Safi sana mkuu kweli kabisa hili jukwaa linamfaa sana yule mganga wa kienyeji ati Professor Maji Marefu hahaha kila mtu kwa chama cha CCm Magamba anataka kuita mara Professor mara Dr duuh hii kali na Mwenyekiti wao nae ati siku hizi anajiita/wanamuita Dr hahaha kweli hiki chama ni noma ukienda kwa mawaziri mara utasikia yule ni Dr Nchimbi huyu mtu hata U DR wake haujulikani kaupata wapi kina Mathayo,Minyi Hossein lol ni balaaaa tupu
 
Back
Top Bottom