Kama kichwa cha habari kina husika muda huu kipindi cha kidokezo radio imaana ndio kimeanza na mwana JF Mohamed Said ndio mgeni rasmi akichambua historia ya wagombea uhuru
Ameanza kuzungumzia...
Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary Chatanda, amenusurika kipigo baada ya kutuhumiwa kuvuruga uchaguzi wa mkoa wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana (UVCCM) akidaiwa kutaka kumpitisha mmoja wa wagombea...
Waandishi Wetu Toleo la 262 10 Oct 2012
Bodi ya Jenerali Mbona yatishia kujiuzulu
Bandari nako si shwari, mengine yafichuka
WAKATI Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara...
Jana ulifanyika Mkutano baina ya Makamu Mkuu wa Chuo-UDSM almaarufu kama VC,Prof.Rwekaza Sympho Mukandara na wafanyakazi wote wa chuo hicho. Washiriki,ambao ni wafanyakazi,walitoa hoja mbalimbali...
Uchaguzi uliofanyika jana na matokeo yake kutangazwa saa 9 usiku na Dr Kabourou katangazwa kuwa mshindi kwa kumshinda mpinzani wake Ndg. William Ntahindula Luturi. Kwa taarifa huyu jamaa...
NIMECHUKUA HATUA YA KUWASILISHA KWA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA SUALA LA MATATIZO YA MAJI KATIKA KATA YA GOBA ILI HATUA ZA HARAKA NA ZA KUDUMU ZICHUKULIWEKazi ya mbunge ni...
Nimepitia majina ya walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi
CCM, naona kama kama vile jina langu limekatwa. Lakini nimekutana na
majina mengi yanafanana hasa surnames kiasi cha...
kuna habari ndani ya gazeti la mwananchi kuwa Lowasa waziri aliyejiuzulu kwa ajili ya kashfa atahutubia katika kumbukumbu ya miaka 13 ya kifo cha mwalimu huko , lambo islamic high school ...
Inasemekana kwamba Nyerere alikubali Mwinyi kuwa Rais ili mambo yake yaendelee kutekelezeka...ndiyo maana maamuzi mengi ya Mwinyi yanazua utata kama ni yeye alikuwa akiamua kama Rais ama...
Burhani Yakub, Muheza.
WAKAZI wa Kata ya Misalai Tarafa ya Amani Wilayani hapa,wamependekeza kuwepo kwa kipengele cha adhabu ya kumwagiwa maji ya baridi nakisha kuchapwa viboko kwa mbunge...
Make leaders` benefits open` By Sylivester Domasa
12th October 2012
A day after Kenyan President Mwai Kibaki blocked Parliament bonus to his lawmakers, politicians and...
Wakuu zangu naomba tujadili hii safari ya waziri mkuu wa Canada, Mheshimiwa Harper ambaye atatua nchini muda wowote itakuwa na manufaa gani kwetu na pia tujadili ni jinsi gani ujumbe wetu unaweza...
Ifuatayo ni taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Ismail Jussa, muda mchache uliopita, ikielezea azma yake ya kujiuzulu nafasi hiyo. Hata...
Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia posts zinazowekwa na wanaJF, in general karibu kila kiongozi aliyekuwa na uthubutu wa aidha kukemea, kukaripia, kuweka hadharani uozo ama kuhusishwa nao wa...
HATIMAYE Kambi mbili ,baina ya waziri Membe na Lowasa,zilizokuwa zikivutana katika kinyang'anyiro cha nani ataibuka mshindi mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha , kambi ya Lowasa ndio imeibuka...
Friday, October 12, 2012
OKTOBA 14
(Kwa ajili ya kumbukumbu ya Mwalimu na
Usia wa Hatma ya Tanzania.)
NAMSHUKURU Karimu, kwa kunipa itihari,
Amri nimesalimu, nakukubali...

MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amelionya Jeshi la Polisi akisema haliwezi kuzima vuguvugu la mabadiliko (M4C) nchini kwa kutumia risasi...
umekuwa na hisia hata minyukano baina ya wapenzi na wapinzani wa Kikwete na CCM yake. Wapinzani wanajitahidi kumshauri huku wapenzi wake wakijitahidi kuonyesha kuwa kufanya hivyo ni kumchukia huku...
Ni aibu iliyoje kuona haya mambo ya ajabu yanatokea katika utawala wako, halafu hakuna kiongozi wa serikali mwenye mamlaka husika anayeweza kukemea uwongo huu wa mchana kweupe na mbele ya umma...