Chadema kuchukua jimbo la sumbawanga mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kuchukua jimbo la sumbawanga mjini

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kankwale, Oct 8, 2012.

 1. Kankwale

  Kankwale Senior Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Rufaa ya mbunge wa Sumbawanga Mjini Mh.Hiraly kupitia chama cha CCM imetupiliwa mbali na mahakama kuu hivyo ni nafasi nzuri kwa chama cha M4C kujipanga kuchukua jimbo hilo.
  :canada:
   
 2. L

  LEAD Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna wa kuzuia mapinduzi, CDM songa mbele
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu ondoa shaka!CHADEMA ni natural disaster,hakuna mwenye uwezo wa kuzuia nguvu yake!
   
 4. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,491
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  hilo Jimbo kura zilichakachuliwa
   
 5. S

  Shembago JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makamanda jipangeni,jimbo la CDM hilo
   
 6. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hiyo haina swali ni kwamba M4C daima na V4C to hell na misikiti ya lipumba
   
 7. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hiyo rufaa imesikilizwa na majaji gani na ilianza lini kusikilizwa?
   
 8. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  nadhani zina ukweli mana hizi habari nimeziona pia kwenye blog ya mjengwa
   
 9. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Makamanda jipangeni,jimbo la CDM hilo
   
 10. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ....kimesajiliwa kweli hiki!!
   
Loading...