Lipumba: Waislam Tanzania piganieni haki zenu na msirudi nyuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipumba: Waislam Tanzania piganieni haki zenu na msirudi nyuma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Oct 8, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh Lipumba juzi Ijumaa alikuwa katika msikiti wa Haq huko Morogoro na kuwataka waislam kutorudi nyuma kuhusu kudai madai yao ya msingi hapa tz
  i)Kuitaka CCM kutekeleza ahadi yake ya mahakama ya Kadhi
  ii)OIC kwani alidai OIC inafaida kubwa katika uchumi wa nchi akatoa Mfano Uganda na Msumbiji.
  ii)Mabadiliko katika baraza la Mitihani (NECTA) kuwa taaisi ya Umma na sio Taaisi ya Kanisa kama ilivyo hivi sasa.

  Aliwataka waislam wasiogope vitisho vya dola kwani wakiiogopa haki zao zitaendelewa kupigwa dana dana.

  HONGERA LIPUMBA. MUPO VIONGOZI WACHACHE MNAUJUA UKWELI. SIO MAPKA SHULE ZA WAKATOLIKI ZISHIKE MKIA NDIO BAADHI YA WANASIASA WAANZE KUONA UBAYA WA NECTA.

  TUNAOMBA UICHAMBUE HILI DUDU LA MOU LINALOWAFANYA WAKATOLIKI WASHIKE NAFASI 10 BORA ZA NECTA
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Inabidi aache uprofesa awe Sheikh sasa
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,512
  Trophy Points: 280
  2015 inakaribia mnategemea nini.. Wagawanye uwatawale
   
 4. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani Uprofesa ni Cheo?
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  It depends......
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,704
  Likes Received: 12,754
  Trophy Points: 280
  Profe lipumba bhana!
   
 7. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ameishiwa huyu mbaba !
   
 8. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Source?...
   
 9. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hana jipya.....anazidi kujiaibisha siku hadi siku.....hivi hana mshauri eeh?
   
 10. TEMPOLALE

  TEMPOLALE JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo hapa siyo kupigania haki, Tatizo lilipo ni kile kitendo cha kudai haki yako kutoka kwa "B" kwa kumlipua "C" na "D" ili kufikisha ujumbe kwa "B"
   
 11. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Aende Marekani tena ili akirudi tumpokee eyapoti kwa maandamano! Umaarufu utarudi tena.
   
 12. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,531
  Likes Received: 10,444
  Trophy Points: 280
  Tatizo hawa wenzetu wasomi na wasio wasomi wengi wao hawana tofauti.
   
 13. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kama nayeye anaamini kwamba NECTA ni taasisi ya kanisa, basi kuna haja ya kuwasaili upya hawa Maprofesa wetu!
   
 14. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi mnashangaa nini? Cuf na Uamsho ni chanda na pete, hivi mnadhani kakosea? Malengo ya cuf yanafahamika ni udini, mwenye macho haambiwi tazama, ni kazi ya akina ponda, mohamed issa na wenzake, cuf ni hatari kwa umoja wa taifa letu!
   
 15. m

  mamajack JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ameamua kufunua makucha yake!!!!!!haya waislamu piganeni tuone.
   
 16. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  haoni sababu ya kuongea vitu responsibly kwavile mara zote waisilam wapo salama mikononi mwa makafiri,ila wao ndio wana-terrorize others.Hiyo ndio fahari yao na mara zote ndoto zao hazikosi hayo matendo.

  Mwisho was siku ni ngumu kuwatofautisha waislam kwa lolote.Every muslimu is a potential threat to non-muslims lets alone a fellow muslim.Lipumba na enjey sana tembelea religious mine field anayoipalilia.

  Muda si mrefu watanzia watajua kuwa shida ya hii nchi si waislam kubaguliwa wala nini bali ni uislam wenyewe.Kwa miaka mingi watanznaia wamekuwa terrorized kwa kukuta nguruwe wao wameuliwa,wengine kuchomea ndani, wengine kuuwawa hadharani na polisi kubakia kuficha ukweli kwa kusema ni kitendo cha kijambazi au hata kitendo cha visasi binafsi.tunakaribia kuujua uislam kw agharama kubwa.Wamejiweka kila mahali,sasa wanataka baraza la mitihani ili wapitishe mamluki wanaokuja lazimishwa shika nafasi muhimu kuwafanya wakifanya mauaji pasiwe na ushahidi kama muawaonavyo akina kova leo,mwema na wengine walivyo wataalamu wa kudownplay ugaidi, huku wakiwaita magaid wasio magaidi.Soon mtajikuta kila kitu kikiwa corrupt na hii imani.
   
 17. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kweli rev msigwa alisema akili ndogo inatawala akili kubwa. Statement ya professor haina tofauti na mtu wa darasa la saba. Prof lipumba ameongea pumba kabisa. Afadahali unyamaze kimya kuliko kuwa kama Sh Ponda
   
 18. maghambo619

  maghambo619 JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 60
  anawatia ujinga masheikh wenzie, kesho utackia kuna maandamano
   
 19. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera Lipumba kwa kuweka wazi. msomi kama wewe ni nadra kutokea
   
 20. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  .

  precisely!iko hivi: tutorial assistant-assistant lecturer-lecturer-senior lecturer-assistant professor then professor
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...