Kwanini vyama vyote vya siasa Tanzania [Tanganyika] vilianzia Dar es Salaam? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini vyama vyote vya siasa Tanzania [Tanganyika] vilianzia Dar es Salaam?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bakari Maligwa, Oct 8, 2012.

 1. Bakari Maligwa

  Bakari Maligwa Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna watafiti; wanaotafiti na kuchimbua historia ya watu, mazingira [maeneo] na mtukio yake. Wapo wanaochimba na kupembua habari za watu na matukio...hata hivyo, nimechunguza kwa haraka nje-ndani na ndani-nje na nina masuala haya juu ya uanzishwaji wa vyama vya siasa Tanzania [Tangayika]:
  1. TAA ilianzishwa Dar es Salaam
  2. TANU ilianzishwa Dar es Salaam
  3. CCM wazo lilitoka Dar es Salaam [na vikao vyote] na kutangazwa Zanzibar
  4. CUF [kama KAMAHURU ilianzia Zanzibar na kuungana CCW cha Mapalala] kiliandikishwa Dar es Salaam
  5. CHADEMA
  6. UMD
  7. CHAUSTA
  8. UDP
  9. TADEA
  10. UPDP
  11. ...na ADC.

  Wasiwasi ni juu ya kwa nini Dar es Salaam iwe "chimbuko" la vyama vya saisa [japokuwa sio vyote] lakini ni vyote (kama dhana) vimeanzishwa Dar es Salaam. Hapa nawaomba wenye ufafanuzi wenye utafiti wa KWA NINI DAR ES SALAAM. Na si Mwanza, Arusha, Tanga, na kwengineko? [!]...naomba mawazo huru na yenye sura ya UKWELI wenye mantiki na uchunguzi.
   
 2. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Dar bado ni capital city ya kila kitu.na dara ndio inawakilisha utaifa zaidi.
   
Loading...