Ulimwengu awapasha vijana wanaoingia CCM-NEC; watakuwa mafisadi tu namna walivyolelewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulimwengu awapasha vijana wanaoingia CCM-NEC; watakuwa mafisadi tu namna walivyolelewa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Oct 7, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wadau: Jeneral tena leo, katoa hii kali kuwapasha magamba. Angalia (kwenye highlight in red) anvyowakejeli vijana wanaoingia katika chaguzi zinazoendelea katika chama cha magamba – kwamba haamini iwapo watatoa msukumo mpya na matumaini mapya kwa chama, bali kuna kila dalili watajikita katika kuendeleza tumufisadi ili wa-catch-up na hao wazee waliowatangulia.  _____________________________
  CCM polls: Young or old, everyone’s looking for a vehicle to take them to State House

  By Jenerali Ulimwengu

  Intrigue, subterfuge and chicanery have once again been on display in Tanzania as the ruling party runs elections meant to renew its leadership structures.

  Party cadres have been crisscrossing county and ward, wooing, promising and cajoling, rooting for their favourite candidates.


  Early results suggest that a number of prominent politicos have bitten the dust, and that new and younger faces have emerged to take their places, but one suspects that the more things change in this party, the more they remain the same.


  Noises have been heard to the effect that the young crop of “leaders” signifies a passing of the torch, engendering a new dynamism within the ruling party, but is the mere fact of youth sufficient to cause renewal?


  Semantically, of course, even youth can be corrupted, and there is no worse corruption than the corruption of a young, energetic and predatory cohort in a hurry to catch up with its corrupted elders.

  For, what upbringing can one expect these young pretenders to have had when they have grown up under a systemic kleptocracy that has tainted everything it has touched?

  It is well known that our parties — and this is not a preserve of Tanzania alone — are completely shorn of any philosophical or ideological convictions, and that they are mere arrangements put in place and maintained for the sole purpose of winning and/or keeping state power.

  In one neighbouring country, people unashamedly — but honestly — declare in the open that they are looking for a “vehicle” to take them to State House.

  This has invariably meant party hopping and revolving doors where top leaders of parties abandon their current vehicles to jump onto new ones that seem to have more fuel and greater traction.

  A sense of betrayal of the people who clambered onto the abandoned vehicles following their “leader” is apparently irrelevant.

  We can expect party hopping too, when we enter the final lap going into the 2015 elections, which have cast a long shadow on the current intra-party elections.

  These elections and the attendant campaigns have been largely informed by the coming general election as presumed presidential aspirants have deployed their proxies in the districts in a bid to ensure big numbers in the structures when the the party’s presidential candidate is chosen sometime in the middle of 2015.

  These proxies have been at each other’s throats and the rivalries seem only to intensify, with reports of guns having been drawn when arguments have gone toxic. Not so strangely, CCM has failed to rein in these manifestations of love for the party.

  Come 2015, a decision will have to be made, and a number of aspirants are likely to be very sore because the bad blood that has arisen between them will lead to fears that their victorious rival will do them in once he or she gets into power, and this may mean that they decamp to other parties seeking their own “vehicles” to take them to State House.

  That is when the party hopping “a la tanzanienne” is likely to happen.

  For, you see, the presidency seems to be the be-all and end-all in our politics. It is as if one cannot serve one’s country unless one is president, or a politician for that matter.


  It is also as if anyone can be president — which is true, by the way — even if one cannot do anything else to earn a living. The thinking seems to be, if you fail to earn a living in anything at all, try running for president.

  That is the mouse that is gnawing at the heart of the ruling party, a veritable broad church that has assembled all manner of disparate opportunists with no ideological affinity, who believe only their man or woman will do.

  What they intend their man or woman to do once in State House remains top secret, but we may surmise that at the top of the agenda will be the improvement of the personal lives of the ground troops that laboured so assiduously to enthrone him or her.


  * Jenerali Ulimwengu, chairman of the board of the Raia Mwema newspaper, is a political commentator and civil society activist based in Dar es Salaam. E-mail: ulimwengu@jenerali.com

  Source: The East African
   
 2. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Passing of the toarch.....thats how it is
   
 3. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  jeneral kasema ukwel kuna sehemu nilikuwa napata msosi basi meza ya jirani kulikuwa na vijana wa chama cha magamba walikuwa wakijisifu kwa mbinu walizotumia kuhakikisha kijana waliokuwa wakimsapoti ameshinda.tena wanazungumza bila woga kama ni kitu cha kawaida.so mtu ategemee nini kwa vijana kama hao ktk kupambana na ufisad na udhalimu wote unaopigiwa kelele?
   
 4. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Njaa humfanya adui yako akakufanyia kazi asiyoipenda kwa juhudi mara nne kuliko wewe mwenyewe ungevoweza ifanya!!!Hawa vijana n majizi kuliko wazee wao hiyo ndo masseage
   
 5. ipogolo

  ipogolo JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 4,048
  Likes Received: 2,923
  Trophy Points: 280
  Jenerali twaha ulimwengu, kada wa tyl, kada wa tanu, ccm, naibu waziri vijana, mjumbe wa nec ccm, mkuu wa mkoa , m/kiti bmt, mtetezi mkubwa wa kikwete ktk mbio za uchaguzi rais 2005(kikwete chaguo la mungu ni chaguo la watu). Baada ya kukosa ukurungenzi wa habari ikulu leo unafunguka kiasi hiki! Hatari kweli kweli. Ulivyomsifia kikwete kwamba ana sifa za julius nyerere hukujua kama ni mlezi wa chama cha mafisadi? Ama kweli,
   
 6. H

  Hon.MP Senior Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulimwengu thanks for writing boldly. Your views may act as a genuine caution on the political frontiers of our land.
   
 7. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Ni bora ukishagundua umepotea njia kusimama na kutafuta njia nyingine kwa gharama yoyote ile kuliko kuendelea kuelekea mwelekeo usiokufikisha. Tena utakaokuchafua maisha yako yote. Huo ukurugenzi wa kazi gani kama angekuwa anajibu mswali mengi namna wanavyoshindwa kujibu sasa hivi? Nadhani kwa sasa wala hajutii kuukosa ukurugenzi. He has freedom that is the bottom line. Tena anabahati sana maana huenda na yeye angekuwa ameshapelekwa India kwa matibabu na kunyonyoka nywele. Amshukuru Mungu kwa hilo.
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Duh, Mkuu, punguza povu! Unampakazia Jenerali, sifa nyingi uliombabikizia siyo kweli kabisa. Unaleta kama ile methali inayosema 'Give a dog a bad name and then hang him.' Jenerali hakuwahi kuwa Naibu Waziri, au mkuu wa mkoa wala mtetezi mkubwa wa kikwete katika mbio za urais za 2005.

  Ukweli ni kwamba alikuwa Mkuu wa Wilaya, wadhifa ambao baadaye alijiuluzulu kutokana na tukio moja Bungeni (alikuwa Mbunge kupitia UVCCM. Alikosoa ufisadi katika ngazi za juu serikalini kwa kusema yale 'makasri' Mikocheni na kwingine yalitokana na ufisadi.

  Waziri Mkuu wakati ule, John Malecela alimjibu kwa kusema kwamba yeye (Jenerali) hakupaswa kuikosoa serikali kwani naye, kama Mkuu wa Wilaya, alikuwa part ya hiyo serikali.

  Hayo yalimshinda na hivyo akajiuzulu na kuamua kupambana na ufisadi akiwa nje ya serikali. Alimsapoti Mkapa uchaguzi wa mwaka 1995 na alikuwa mjumbe wa kamatiu ya kampeni yake. Alikuja kukoiszana na Mkapa pale gazeti lake la The African lilipofichua kashfa ya ufisadi uliomgusa Dr hassy Kitine, Waziri wa masuala ya Usalama wa Taifa wakati huo.

  Mkapa aligoma kumchukulia hatua Dr kitine -- kwa kumfukuza kazi, kwani ushahidi ulikuwa mkubwa mno.
   
 9. M

  Mr jokes and serious Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua mimi uwa nashangaaga sana kijana mwenzangu anavyo ishabikia ccm,uwa naona kama anachangia kuwa umiza wa2 wa vijijini mana uwa naumia kana kwamba natamani ata ni mzabe mangumi tu,kwa kweli tubadilisheni chama ambacho kita kuwa madalakani bila hivyo hii nchi itakuwa na watu wa chache wene nacho na wasio nacho mimi nilikuwa cwaelewi cdm ila nilivyo anza kuwa nao kalibu kwa kuwafwatilia nina waelewa sana tu,peeoppleee power
   
 10. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,296
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Jamani jadilini hoja na sio mtoa hoja. Aliyetoa hoja kashatoa. Maswali ya kwanini katoa hoja hayatusaidii. Ni kweli hakuna kijana mwenye uchungu na nchii leo anaweza kugombea uongozi kupitia CCM. Hakuna, CCM ni sehemu ya vijana wachumia tumbo na sio mabadiliko
   
Loading...