Mbunge wetu olemedeye tafadhali tutembelee wapiga kura wako arumeru-magharibi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wetu olemedeye tafadhali tutembelee wapiga kura wako arumeru-magharibi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Olaigwanani lang, Oct 16, 2012.

 1. Olaigwanani lang

  Olaigwanani lang JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni miaka mitatu imepita sasa tangu tukuchague kuwa mbunge wetu,lakini hatukuoni jimboni tenaa....,tumerudi kwenye yaleyale tuliyoyakimbia miaka mingi iliyopita...tafadhali ufike sasa..la sivo mustakabali wako kisisasa arumeru ndoo utaishia hapaa......,matatizo ni mengi sana jimbono kwako....!
   
Loading...