Sungusungu nafuu kuliko jeshi la polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sungusungu nafuu kuliko jeshi la polisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sir M.D.Andrew, Oct 16, 2012.

 1. S

  Sir M.D.Andrew JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu wanaJF,binafsi nasikitishwa sana na uendeshwaji wa jeshi la polisi na maadili ya jeshi,kifo cha mkuu wa polisi wa mkoa,tena kifo cha namna hii ni aibu kubwa lakini pia kimefichua udhaifu mkubwa jeshi la polisi,kimaadili na kiutendaji,ndio maana wamekalia kudhibiti harakati za ndani na kuua watu kwa kisingizio cha majambazi au wavamizi wa hifadhi za taifa,,ni aibu kubwa kwa jeshi zaidi pale ambapo mkuu wao anakufa kifo kisichoeleweka sawasawa chanzo chake,maana kinahusishwa na ugoni! Lakini pia ukiachilia hayo kamanda yeye huwa halindwi?au kwa sababu alikuwa anafukuzia starehe za mwili akaamua walinzi wawe pembeni mathalani alikuwa na mke wa mtu? Kwa akili yangu,kwa kifo cha kizembe cha kamanda wa polisi mkoa wa mwanza iwe mwisho wa polisi tanzania,tuimarishe sungusungu inatosha,,haiwezekani kamanda wa mkoa afe kifo cha aibu namna hii....SUNGUSUNGU IIMARISHWE-TUMECHOKA NA POLISI
   
Loading...