DUAL citizenship Tanzania 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DUAL citizenship Tanzania 2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mbongopopo, Jan 6, 2011.

 1. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wana JF,

  hii dual citizenship ni kweli itaanza Tanzania mwaka huu 2011?

  nakumbuka kusoma sijui wapi eti ni mwezi huu, mwaka huu?
   
 2. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  you must be 200 million light yrs behind, mbona watu wanazo toka sept??
   
 3. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  what kwa ajili ya Tanzania wow nitacheki mitandao yao. ila duu kuuliza sio ujinga au?
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mh. Bernard Member ambae ni waziri wa mambo ya nje aliahidi sheria ya kuruhusu uraia wa nchi mbili ingepitishwa kabla ya mwisho wa 2010. Watanzania wengi walio nje walifurahia sana kauli hiyo. Mimi tokea mwanzo nilisema hizo ni siasa na hiyo sheria isingepitishwa kabla ya mwaka. Je serikali imeishia wapi na swala hilo? 2011 ndiyo hiyo imeshaingia.

  Swali ni je kwa nini serikali inaendelea kuahidi vitu ambavyo havi tekelezeki? Walikua na sababu gani ya kuwa danganya Watanzania waishio nje ukizingatia siyo hata wapiga kura? Kwa nini serikali ijibane yenyewe kwa kuweka deadline ambao inashindwa kutimiza? Kwa nini mpaka sasa bado wapo kimya?
   
 5. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Due to procedural schedules, the proposed dual nationality had to wait perhaps until this year to become law. A final report on dual nationality was expected to be prepared by mid-July last year, but it has to be studied by the justice minister before being tabled to the parliament.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Je serikali ilitoa tamko na maelezo rasmi ya hizi delays? Maana kwenye statement yako mkuu naona neno "perhaps" linalo ashiria kwamba mwenyewe una hisi tu sababu. Ni ungwaana wa kawaida hata mtu ukichelewa kwenye appointment kumtaarifu mtu na kumuomba msamaha aidha kabla au baada. Sasa kama waliahidi kabla ya mwaka kuisha na sasa tunaelekea mwezi wa 2 wa 2011 kwa nini hamna taarifa kwa umma?
   
 7. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Mbona watu wameshapewa. mie nina mtu wangu anaishi UK aliwachukulia wanae wawili mwezi Mei hapaDSM
   
 8. W

  Wanzagi Member

  #8
  Feb 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sheria ya Tanzania inaruhusu uraia wa nchi 2 mpaka unapotimiza umri wa miaka 18. Baada ya hapo inabidi uchague
   
 9. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa kwenye gazeti la Daily News.
   
 10. m

  mamaduke Member

  #10
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  je ni kweli kwamba Tanzania inaruhusu dual citizenship? T
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Apr 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,661
  Trophy Points: 280

  Sahau hii kitu Mkuu....Hawa waliojivisha ngozi ya uongozi nchini kwetu huwa hawafanyi maamuzi yoyote ambayo wanaona hayana neema/manufaa kwao. Majirani zetu wote Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji, Namibia wanaruhusu hii kitu lakini siye njemba za ntima nyongo bado zinaweka ngumu kwa visingizio ambavyo havina kichwa wala miguu! Eti uharamia utaongezeka nchini, Wenye UDC watatorosha mali za nchi nje ya nchi (wakati mafisadi tayari wanafanya hivyo kwa miaka mingi sasa) nchi yetu bado changa (nchi ina miaka 50...bado changa kweli!?) haihitaji kuwa na UDC kwa sasa.
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  We chukua
  Citizenship yako mkuu
  hii ya kusubiria hiyo dual
  Pole.....
  Uwongo,ufisadi na rushwa
  Ndo vimetawala nchi yetu..
  wanaweza sema umetoka kumbe bado..
  Au kweli wameitoa lakini cheki hizo njia za panya..
   
 13. Salathiel m.

  Salathiel m. JF-Expert Member

  #13
  Apr 7, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Aaaaah jamani mbona rostam aziz ana dual citz? Au ajulikani? Au ameachwa kama anavyoachwa kufanya ufisadi???
   
 14. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #14
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni kitu ambacho kinaweza kuingizwa kwenye katiba!!! Naona Kenya walifanya hivo na Katiba yao mpya!
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,661
  Trophy Points: 280
  Dual citizenship process on progress

  From ALVAR MWAKYUSA in Dodoma, 13th April 2011
  DAILY NEWS

  THE process to allow Tanzanians hold dual citizenship has reached an advanced stage, the National Assembly was told here on Wednesday.

  Deputy Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, Mr Mahadhi Juma Maalim, said the government has reached Tanzanians in the Diaspora through various forums to get their views on the proposed arrangement.

  He was responding to a basic question by Leticia Nyerere (Special Seats - CHADEMA) who wanted to know the progress reached so far on the arrangement.

  According to the deputy minister, the government has already established a Diaspora department at the ministry to co-ordinate the arrangement while for Zanzibar, the Revolutionary Government has established the same department under the Deputy Chief Secretary.

  He explained further that the government in partnership with private institutions were finalising legal and policy framework to enable Tanzanians in the Diaspora to participate in the building of the national economy.

  He mentioned the public institutions as the Ministry of Home Affairs, the Bank of Tanzania (BoT), Tanzania Investment Centre (TIC), Tanzania Revenue Authority (TRA) in addition to National Housing Corporation (NHC), Unit Trust of Tanzania and National Social Security Fund (NSSF).

  He named some of private sector players or institutions involved in the process as CRDB Bank, Commercial Bank of Africa (CBA) and other recruitment agencies.

  He said his ministry and that of home affairs are currently working with the office of the Attorney General to prepare a circular to be presented to the cabinet for approval before being sent to the parliament to amend the current Citizenship Act.

  Mr Mahadhi added that since the process to review the Constitution has started, the issue of dual citizenship will also be included in the constitution.

  In her supplementary question, Ms Nyerere also wanted the minister to explain the benefits of dual citizenship for Tanzanians.

  In response, the deputy minister said dual citizenship will enable Tanzanians in the diaspora to contribute significantly to their country even if they have acquired citizenship of other countries, the country will benefit from remittances and technological transfers.

   
 16. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  By Judica Tarimo

  15th April 2011

  Foreign Affairs and International Cooperation deputy minister Mahadhi Juma Mahadhi has expressed optimism that the new constitution would address the dual citizenship issue.

  He said this on Wednesday when responding to a question posed by Special Seats MP Leticia Nyerere (Chadema), who had wanted to know the progress made in the implementation of a plan to incorporate a component of dual citizenship in the country's laws.

  "I need a statement from the government as to when it will table in Parliament a proposal for amending citizenship laws to allow Tanzanians have dual citizenship?" she queried.

  In his response, Mahadhi said the issue of dual citizenship touches on the country's constitution, therefore he expressed hopes that ongoing constitutional reforms would take care of it.

  "The fact that we have the constitutional review process going on right now, and the issue has a direct link to the constitution, we decide that it would be prudent idea to address it within the review process," said Mahadhi.

  He told the House that the issue was being handled by his ministry in collaboration with that of Home Affairs and Attorney General's office.

  However, the deputy minister said when time was ripe; the Ministry of Home Affairs would bring in the House for consideration a proposal on dual citizenship.
   
 17. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,160
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 280
  Hivi hili suala la Uraia wa Nchi Mbili limeishia wapi ?? Je lina Manufaa kwa Taifa letu Tanzania ??? Na ni nani atanufaika na suala hili ??? Nawakilisha kwa The Great Thinker !!!!
   
 18. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #18
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kwenye hii mikutano ya Diaspora huku nje ya nchi, Waziri Membe alisema ataipeleka hii issue kwenye Bunge in June na nadhani wataidhinisha Uraia wa Nchi Mbili; Sasa Sijua baada ya yeye kutoka CC what will be his agenda's...
   
 19. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,160
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 280
  Asante NNGU007, Kwa Kutujuza !!!!!!
   
 20. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Hio ilikuwa June 2010. Alidanganya huyo. Angalia wakenya walipo, mwakani wakenya milioni tatu wanaoishi ughaibuni watashiriki uchaguzi mkuu. Wabongo maneno ipo mingi hakuna vitendo zaidi ya kudanganyana tu.
   
Loading...