Madabida vs masaburi

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
CCM Bwana, Hakika inaongozwa na Pesa na ndugunization.
Nimepata taarifa kupitia JF kwamba Ramadhani Madabida ameshinda uenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Huyu Jamaa ni mme wa Zalina Madabida ambaye alipigwa Muhereka na Janeth Masaburi kwenye uchaguzi wa UWT - Dar Kama sikosei wakati huo huo Masaburi na yeye alipigwa chini kwenye uchaguzi wa ujumbe wa nec mkoa wa Dar.Janeth Masaburi ni mke mwenza kwa mke mwingine wa Masaburi ambaye anamuita Ramadhani Madabiba Mjomba.

Katika uchaguzi wa nec ambao masaburi alishindwa Zalina Madabida alisikika akimuambia Masaburi safari nimekushika pabaya, mzee mzima akakaa kimya, bila shaka katika hili pesa za ARV zilimshinda Masaburi.

Then, Baada ya Zalina kubwagwa na Janeth Masaburi, Masaburi naye akamsogelea Zalina na kumuambia, na mimi safari hii nimekushika kubaya, Zalina akamuambia, mtu mzima kama mimi umenishika kubaya kupi? Imagine Jibu alilotoa masaburi.
 
pumba.
 
hayo majina hayo jamani hata sijaelewa
naona kama moja la mbele na jingine la nyuma hivi?
 
Back
Top Bottom