Lile Fao la kujitoa ambalo Wabunge walipitisha eti unalipata mpaka ufikishe umri wa kustafu miaka 55 wakati wao after 5 years Mbunge anakula cahke anaanza mbele ila kwa wapiga kura wao mpaka 55! Sasa baada ya kelele nyingi ilitegemewa review ya sheria ile ije katika Bunge hili la mwezi wa kumi,lakini cha kushangaza juzi nimemsikia afisa wa Bunge akieleza mambo yatakayojadiliwa katika Bunge hili,hili swala sikulisikia kabisa.
Sasa nauliza hawa ndugu wanampango gani na hili fao? Wanampango gani na hela zetu?
Jamani tafakarini na mchukue hatua,2015 lazima tuwang'oe tu penda msipende!
Sasa nauliza hawa ndugu wanampango gani na hili fao? Wanampango gani na hela zetu?
Jamani tafakarini na mchukue hatua,2015 lazima tuwang'oe tu penda msipende!