Jamiiforums, twitter, facebook zinaweza kuleta mapinduzi ya kifikra, kisiasa na kijamii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamiiforums, twitter, facebook zinaweza kuleta mapinduzi ya kifikra, kisiasa na kijamii?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bagamoyo, Oct 16, 2012.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Mhadhiri wa Chuo kikuu Cha DSM anajaribu kuchambua kama tekenolojia inawea kuleta mapinduzi Afrika ?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Mhadhiri anaongea kama mama asiyeenda shule, mama asiyeenda shule ataongeaje?

  Hata huko "kaskazini" Facebook na Twitter hazikuandamana, ni watu waliondamana.

  So what's your point?

  Mhadhiri wa Chuo Kikuu hajui kutofautisha swala la nyenzo na chachu za mapinduzi na mapinduzi yenyewe?

  Anaongelea Facebook na Twitter bila kuongelea cellphones na text messages?

  Ana dismiss 20% (ambayo hajasema kaipata wapi hiyo takwimu) wakati 10% tu ya watu inaweza kufanya mambo?
   
 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Kiranga

  Nimpongeze tuu kuwa alitoka kuhudumia bar, ila ananiudhi kwa ulevi na bangi. Ni PHD holder ni mpjinga kama wengine pale UD wanaongalia dunia kwa mitazamo ya Degree walizonazo na kunagalia wingi wa wanafunzi wanaowaona ktk jamii wanajipa vichwa kuwa bado wanawazidi hao wanafunzi.

  Bado hajaweza jua mengi kuhusu mitandaoa iliyopo na kazi zake. Kwake JF, facebook,Twitter,You tube ni kitu kimoja, bado SMS, USSD etc. hajui kuwa twitter iliumbwa kama web-SMS-tool yaashi kama web short message ndio maana kashambulia sana watu wanaotwit.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  mkorakamili

  Mara nyingine ukishapata msingi mbaya mwanzo, hata uende kuchukua PhD unapwaya tu.

  Mhadhiri mpaka uambiwe huyu mhadhiri? Mhadhiri unamjua tu, ukimsikia mwenyewe unauliza "huyu nani anashusha data hivi?".
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Heavy equipment

  Heavy equipment JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 80
  Kwa pamoja vitu hivyo huleta mapinduzi hasa kwa wote walio na utayari wa hilo,kwani kuna mataifa mengi tu ambayo yameleta mapinduzi kwa kupitia vyombo kama hivyo vya kijamii. Kikubwa ni kuwa na utayari wa mabadiliko.
   
 6. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Huyu ukimkuta bar lazima umwite wewe ant!!!! Hebu leta tursker mbili za baridiii niitie na kijana wa jikoni bila kusahau vocha ya Voda na embassy mbili
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kwani anahadhiri nini? Nauliza hivyo kwa kuwa pale UDSM kuna vitengo vingi kikiwemo kile ambacho hufanyia mazoezi ya vitendo kwenye jengo lililo[po chini ya cafeteria ya Manzese.
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh!

  Namfahamu! Tulikuwa naye miaka hiyo ya huko nyuma pale chuoni. Alikuwa bingwa wa mazoezi ya viungo akifuatia mirindimo ya ngoma! Alikuwa bingwa wa maigizo!
   
 9. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Yah! Ni kweli lakini pia tujiulize mapinduzi hayo tunayo zungumzia ni hasi ama chanya Refer Arab spring ilichochewa sana na mitandao ya kijamii
   
 10. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  kaacha bangi, sigara na ulevi? anaongea kama bado yupo ktk hangover. hajui technologies na malengo ya hizi technologies ndio maana analalama sana kwa uchache wa maneno mtu anavyotweet.Tweeter haikuundwa kuandika msg ndefu na ilitakiwa iwe fast na mara nyingi ifanye kazi ktk realtime km chat huku ikitract fans,face book imejumlisha yote,huku ikiwa inaujenga network ya friends na patners, forums(JF) ni open discussion platform(collaborative tool) of issues bila kujali muda, kuna blog ambayo ilipaswa kuwa kama personal diary kabla haija evolve na kuwa kama publishing website(citizen journalist tool), n.k .

  Sasa huyu msomi kaingia choo cha kiume akiwa kalewa lazima adhalilike.Sasa hawa ndio washauri weny maringo ktk nchi.Sijui watapotosha kwa kiasi gani asasi za serikali na raia kama watamtumia ktk ushauri.
   
 11. Mr Dhaifu

  Mr Dhaifu JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  kwani wakuu huyu mama alikuwa anatumia vilevi nilimuona hataongea yake kama kalewa vile anayumba pale jikwaani
   
 12. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Wakuu,
  Tuache jazba, mimi naona Profesa katupa changamoto.

  Wale wenzetu ambao wanajitokeza kufungua matawi bila kumuogopa Kamanda Kamuhanda kule Kilolo, Iringa au wale wanaotoka Misikitini siku ya Ijumaa kwenda makao makuu ya Wizara ya Mambo ya Ndani ktk maandamano juu ya wale waliotiwa rumande waachiwe kwa dhamana au wale wanaojitokeza Salender Bridge kufunga barabara kufikisha ujumbe kwa serikali ndiyo WASHIKA MABANGO HADHARANI.

  Je, sisi wanaJamiiforums hapa Tanzania pamoja na kutumia key-boards zetu tunaweza kujitokeza 'Tahrir Square' kukesha kudai mabadiliko au kuwa washika- mabango Jangwani, Kilolo kufungua matawi? Hebu tujiulize!
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Duh! This Prof. is unbelievable! And I don't mean it as a compliment


  Hali ya huko "North" anaijua, au yeye alikuwa anazungumzia North as in North Korea?!
   
Loading...