Ufisadi wa Kutisha TACCEO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi wa Kutisha TACCEO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ni Mimi Msiogope, Oct 16, 2012.

 1. N

  Ni Mimi Msiogope JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jumuiko la Asasi za kiraia Tanzania zilizojipambanua kama waangalizi wa ndani wa chaguzi kadhaa wameanza kutuhumiana kwa namna ambavyo matumizi ya fedha za wafadhili yanavyofanywa. Hii ni moja ya taarifa saba ambazo zimelalamikiwa sana na kamati yao. Jumuiko hili linaratibiwa na LHRC (Legal and human Rights Center)

  UCHAGUZI WA ARUMERU
  The following are description of the budget for the launching of the Arumeru Report activity:


  [TABLE]
  [TR]
  [TD] S/No.
  [/TD]
  [TD="width: 336"] ITEM
  [/TD]
  [TD="width: 145"] AMOUNT
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 65"] 1
  [/TD]
  [TD="width: 336"] Honorarium for the guest of honor
  [/TD]
  [TD="width: 145"] 300,000/=
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 65"] 2
  [/TD]
  [TD="width: 336"] Transport of Members from Up country
  Transport 100,000/=
  Accomodation 200,000/=
  Transport for other Members 30,000@X 6= 180,000/=
  [/TD]
  [TD="width: 145"] 480,000/=
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 65"] 3
  [/TD]
  [TD="width: 336"] Transport for 30 journalist 10,000/=300,00/=
  [/TD]
  [TD="width: 145"] 300,000/=
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 65"] 4
  [/TD]
  [TD="width: 336"] Water for 100 people ; 100pp x 1x700/=
  [/TD]
  [TD="width: 145"] 70,000/=
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 65"]

  [/TD]
  [TD="width: 336"]

  [/TD]
  [TD="width: 145"]

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 65"] 5
  [/TD]
  [TD="width: 336"] 100 pax @4000 mid morning tea
  [/TD]
  [TD="width: 145"] 400,000/=
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 65"] 6
  [/TD]
  [TD="width: 336"] 4 Tents,
  100Chairs,
  Decorations for 100 people
  [/TD]
  [TD="width: 145"] 240,000/=
  40,000/=


  300,000/=
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 65"] 7
  [/TD]
  [TD="width: 336"] PA System
  [/TD]
  [TD="width: 145"] 150,000/=
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 65"] 8
  [/TD]
  [TD="width: 336"] Mawasiliano
  [/TD]
  [TD="width: 145"] 50,000/=
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 65"]

  [/TD]
  [TD="width: 336"] GRAND TOTAL
  [/TD]
  [TD="width: 145"] 2,330,000/=
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. T

  Teresia Mahimbi JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 272
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  WW nahisi utakuwa una agenda ya kuwachafulia jina LHRc..maana hapo sioni ufisadi wowote.mil mbili kwa event kama hiyo ni peanut..Ila NGOs nyingi kuna ufisadiiiiiii sikatai coz na mm nipo kwenye NGo..wanajifanya wanapigia Serikali kelele ilhali wao wachafuuuuu kupita maelezo.I wish CAG angekuwa anawakagua!!
   
 3. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tunasubiri kauli ya kijo bisimba ili kuweka mambo sawa,
   
 4. tutaweza

  tutaweza JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Sasa hapo huo ufisadi ni upi? Maana naona pesa kubwa anayochukua mtu mmoja ni hiyo honorarium pekee (Tzs 300,000). Ila hizo nyingine ni matumizi ya kawaida kabisa.
  Nadhani mleta mada una sababu zako binafsi , yaani bila aibu unasema ufisadi wa kutisha halafu jumla ya hesabu zako ni Tzs 2,330,000!
  Tusitumie JF kwa maslahi binafsi au kwa kuchafuana tu na kujaza servers.
  Ungefanya analytics ya ulichopanga kukiandika kabla ya kuki-post
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mbona ni kama kila mtu ametumia Tshs.23,300/=tu!! SAsa mbaya iko wapi??
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mtoa mda jipangee,tena ujipange kweli yani 2.3m ndio ufisadi? tena kuwahudumia watu 100? Jipange Upya
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Unajua ccm walitumia bilion ngapi uchaguzi ule?tena wakaangukia pua.hayo matumizi ni ya kawaida
   
 8. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ufisadi uko wapi wewe binadamu? Inawezekana hujatambua maana ya budget. Inaonyesha tukio na matumizi yake! Labda utuambie hasa unachokusudia kusema hapa jamvini au kama hukulipwa kulingana na budget yao useme item husika. Vinginevyo tuna mambo mengi ya kujadili acha UMBEA.
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Tshs 2,330,000 ndiyo ufisadi wa kutisha, kweli sasa tunaogopa hiyo ID yako ya Ni Mimi Msiogope!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,173
  Likes Received: 1,257
  Trophy Points: 280
  Nilifikiri nitaona "siting allowance" sikuona pambafu usiwachafue bure!!
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hivi member wengine hawaonagi mambo ya kuongelea? Hv vimilioni mbili ndio anasema ufisadi wa kutisha??

  Hebu tafakari upya ndiyo urudi humu!
   
 12. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  We utakuwa form six leaver tu. Eti 2.3m ufisadi?. Nenda zako, mods ifuteni hii maana inachafua jamvi na credibility ya tacceo.
   
 13. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hahaha mbona hela za kawaida sana hizo.

  Nenda kaangalie matumizi ya Ikulu kwenye event kama hiyo hiyo na vitu hivyo hivyo
   
 14. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,836
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mbona sioni Kama kuna Tatizo lolote!! Au Akili Yangu?
   
Loading...