Mwanza: CCM watumia wanafunzi wa sekondari kuhesabu kura! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanza: CCM watumia wanafunzi wa sekondari kuhesabu kura!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Oct 16, 2012.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Wakuu,

  Binafsi siamini kama ni sahihi wanavyofanya lakini ndicho kinatokea hapa Mwanza. Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatumia wanafunzi (wa kike) wa sekondari katika kuhesabu kura katika zoezi linaloendelea hapa CCM Kirumba.

  Wanafunzi niliowaona hapa ni 12 na ni kutoka Shule ya Sekondari ya Bwiru Wasichana (Bwiru Girls). Wamefungiwa ndani wakiendelea kuhesabu kura.

  Pamoja na kutoaminiana wao kwa wao (CCM): Je, ni sahihi kitendo hiki? Watoto hawa si wangekuwa shuleni wakijisomea? Tunawaandalia mazingira gani wanetu?
   
 2. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  uchaguzi wa nani mkuu?
   
 3. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, wajumbe wa NEC
   
 4. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,053
  Likes Received: 31,857
  Trophy Points: 280
  hawa nao wanapoteza muda tu mbona CCM Mwanza ilishakufa! shahidi Laurence Masha
   
Loading...