Mkuu wa mkoa wa Arusha aumbuka Soko Kuu

mnyinda

JF-Expert Member
Sep 25, 2012
277
64
Mkuu wa mkoa wa arusha leo amejikuta akiutubia watu kama 10 maeneo ya sokokuu baada ya wananchi kumdarau nakuendelea na shunguli za kawaida hata hivyo mkuu huyo hakukata tamaa aliendelea kuwaomba watu waje watoe kero zinazo wakabili ndipo mzee mmoja alipomuliza nikwanini ametuma mgambo wawaondoleye kijuwe chao kahawa?maarufu kama kijiwe cha chadema,mkuu huyo aliagiza kijiwe hicho kirudi maramoja lakini kwasharti kuwa kiongozi akipita wasiwe wanasomea....
 
Ukisharuhusu kijiwe, basi ukubali yote yatokanayo na kijiwe. Huwezi kuruhusu kijiwe halafu ukataze kuzomea, vinginevyo hicho hakitakuwa kijiwe.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
hilo jamaa lilivyokuwa dc bagamoyo lilikuwa linapiga milungula ya rushwa pale halmashauri ya bagamoyo balaa....
 
Kwa hiyo katika ratiba yake ya leo kazi aliyofanya ni kurejesha kijiwe cha kahawa.
 
Magesa Mlongo,moja ya watu hatari sana huyo. Hatumii kicha chake kufikiri na kutolea maamuzi yaliyopo mbele yake,bali yeye hutekeleza tu matakwa ya wakubwa zake bila kuangalia athari anazoweza kuzileta kutokana na uamuzi wake.
 
Kwa hiyo katika ratiba yake ya leo kazi aliyofanya ni kurejesha kijiwe cha kahawa.
aliuliswa maswali kadhaa 1 nikwanini umepiga marufuku kijiwe cha kahawa cha wazee?
2 Nikwanini unasema utakomesha wana arusha?
3nikwanini mnakaa huko ofesini bla kutembelea wanamchi?
4baada yakuamisha wamama umepata faida gani wakati bado jiji na chafu?
5 Rama mpambe wa ccm ninani mji huu maana ameonekana kiherehere wakukamata mchinga?maswali yote alikiri udhahifu akahaidi kushuhulikia kwakeli ameonekana mnyonge baada yakujikuta hakuna mwenye time naye,
 
jamaa mjivuni na mpenda sifa sana,mkoa wa Arusha ni mzigo mzito sana kwa huyu kibaraka
 
HAPA NI ARUSHA SIYO BAGAMOYO HILO ANASTAILI KULITAMBUA NA WATU WA HUKU WAMEFUNDISHWA UJASIRI TOKA MWANZO KWA HIYO KWENYE HAKI YAO HAWATAMBUI MTU...... Safi sana mliokuwepo eneo la Tukio kwa kuuwakilisha vema uma wa Arusha
 
aliuliswa maswali kadhaa 1 nikwanini umepiga marufuku kijiwe cha kahawa cha wazee?
2 Nikwanini unasema utakomesha wana arusha?
3nikwanini mnakaa huko ofesini bla kutembelea wanamchi?
4baada yakuamisha wamama umepata faida gani wakati bado jiji na chafu?
5 Rama mpambe wa ccm ninani mji huu maana ameonekana kiherehere wakukamata mchinga?maswali yote alikiri udhahifu akahaidi kushuhulikia kwakeli ameonekana mnyonge baada yakujikuta hakuna mwenye time naye,
HUYO JAMAA ATAKUWA NA MASLAHI MAKUBWA sana na ccm, maana kwa mwenendo wake atafikia kuua huyu!
Awe makini na wana -Arusha, cinginevyo wanaweza kumbadilisha jina soon!
 
Huyu ndo yule Rama wa Ulimboka na Mwanahalisi muuaji anyeishi Magogoni akishirikiana na Ahmed Msangi?Wamemwona Mwenzao Barlow?Subiri kwanza acha waendelee Kutunyanyapaa Mungu anaonesha njia kwa majibu yake Sahihi kwa Mnyonge
 
Back
Top Bottom