Salome d mwambu yuko wapi?.........

moseskwaslema

Member
May 3, 2012
92
13
Wana jf nawaomba mnisaidie mbunge wa iramba mashariki mama mwambu yuko wapi kisiasa kwani sijamsikia kwenye mchakato wa uchaguzi ndani ya ccm.Ni mlafi,mshirikina,mbaguzi,extravagant, hana mfano wa kuigwa nasijui wana iramba waliangalia nini mpaka wakamchagua wakamwacha msindai.
 
Mmmh mdau unaweza kuyathibithisha hayo??ushirikina?uchawi?Mana namfahamu mmoja wa wapwa zake(Mvulana) ambae ni mlokole(ingawa ana roho ya visasi na chuki)mana alichukia my Brother kuoa msichana mwingine ilhal yy alipenda dada yake ndo awe bi haruc
 
ugomvi wenu ni nini? alikuchukulia mume au? maana hayo madai mengine yanaonyesha una chuki nae wala si kwa ukweli halisi wa mambo
 
Mmmh mdau unaweza kuyathibithisha hayo??ushirikina?uchawi?Mana namfahamu mmoja wa wapwa zake(Mvulana) ambae ni mlokole(ingawa ana roho ya visasi na chuki)mana alichukia my Brother kuoa msichana mwingine ilhal yy alipenda dada yake ndo awe bi haruc

Hizi ni personal issues ambazo hazina tija yoyote na maendeleo ya Mtanzania
 
Niliwahi kusoma humu uzi wakati fulani ukisema kuwa anaumwa...kalazwa Muhimbili Aakiwa mahututi...je alipona?isije kuwa alifariki dunia na magamba wakaficha kwa kuhofia jimbo kwenda cdm uchaguzi mdogo ukurudiwa...
 
Mmmh mdau unaweza kuyathibithisha hayo??ushirikina?uchawi?Mana namfahamu mmoja wa wapwa zake(Mvulana) ambae ni mlokole(ingawa ana roho ya visasi na chuki)mana alichukia my Brother kuoa msichana mwingine ilhal yy alipenda dada yake ndo awe bi haruc

Yamekuwa hayo tena?
 
Bado yuko ICU Muhimbili anaumwa kisukari na shinikizo la damu. Kwa vyovyote vile huyu mama atakufa tu. Mimi sasa hivi najiandaa kugombea ubunge jimboni humo. Mikakati yote nimeshaimaliza.
 
Kila la kheri mkuu MNYISANZU....RIP asap Salome for the benefits of kamanda Mnyisanzu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom