Viongozi wa juu chadema munahitajika kufikiria kuongeza vipeperushi na ilani za chama. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa juu chadema munahitajika kufikiria kuongeza vipeperushi na ilani za chama.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NDETIKIRO, Oct 16, 2012.

 1. N

  NDETIKIRO Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekua nikichunguza accesbility ya vijitabu vya ilani ya chadema kwa watu wengi inakosekana.na kwakua hapa jf wengi wa viongoz wa cdm wafika nimeamua kuleta mambo yafuatayo;-

  (1) uwezekano wa kuchapisha nakala nyingi ili kufikia wengi wanaopenda kuielewa na kuisimamia.
  (2) kuwa na vipindi maalumu vitakavyo elezea mipango mikakati ya kukuza uchumi na ajira rasmi.
  (3) kuwa na network nzuri na ufuatiliaji kila tunapofungua tawi. Kutoa msaada wa kielimu kuhusu malengo ya chama kwa kila jimbo la uchaguzi na jinsi ya kusimamia utekelezaji.
  (4)kuendelea kukijenga chama hiki ndani ya mioyo ya watu kama chama cha ukombozi.
  5; kuelekeza nguvu kubwa vijijini kwa kuelimisha kujua shida wanazodumu nazo na vijana kutumia fursa ya kura kwa jili ya mabadiliko mazuri kwa maisha yao.

  6;nguvu kubwa sasa nashauri iwekezwe kwa wakina mama. Tunajua umuhimu wao na walivyo fanywa madaraja ya ccm.mimikwa uelewa wangu nafikiri tunahitaji mfumo tutakao tumia kuwafikia kwa urahisi. Wana cdm naomba muongeze maoni chanya nayaamini kufikia 2014 cdm itakua inabase kubwa sana.
   
 2. Man 4 M4C

  Man 4 M4C JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 737
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Umeeleweka ila nanyi endeleeni kuelimishana.
   
Loading...