CCM wanajishtukia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wanajishtukia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ANDENDEKISYE C, Oct 16, 2012.

 1. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika kujumuika na jamii, palitokea msiba karibu na ninapoishi. nikapata fursa ya kuongea na mwenyekiti wa serikali ya mtaa ambaye ni wa CCM. Tuliongea mengi ya siasa huku akijua mimi ni CHADEMA nami nikijua yeye ni CCM.

  Jana nimekutana naye, nikamsalimia, nikamwambia naona ndio mnamalizia, akajibu upesi, tunamalizia nini? Oh oooooooooooooh hakika mimi nilimaanisha mnamalizia chaguzi za chama chenu, lakini yeye akapata tafsiri ambayo wengi ndani ya CCM wanajua kuwa ndio wanamalizia muda wa kuongoza serikali hapa Tanzania.

  KWA HERI CCM.
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  He,wanajshtukia.
   
Loading...