Zambi awa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zambi awa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Oct 16, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  TAARIFA zilizovuja kutoka ndani ya chumba cha kuhesabia kura katika uwanja wa sokoine Jijini Mbeya ambako bado matokeo ya uchaguzi hayajatangazwa, zimesema kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbozi Mashariki Godfrey Zambi zmeshinda nafasi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya.  Zambi kapata zaidi ya kujra 800 na kufuatiwa na Allan Mwaigaga ambaye amepata kura 400 na kufuatiwa na Reginald Msomba aliyepata kura 47.
  Habari kamili kesho...
   
 2. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Waache wafu wazikane wao kwa wao! Ccm hoyeee!
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  no comment
   
 4. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mtuhumiwa wa rushwa kwenye Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa.

  Source: Kafulila

  Hongera Dhambi!
   
 5. C

  Concrete JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mkuu tafadhari toa taarifa kamili, kwa mfano
  1/Mshindi anatoka kambi ipi ya wapigania urais?
  2/Matukio ya aina gani ya fujo yalitokea?
  3/Mtindo upi wa kutoa rushwa ulitumika?
   
 6. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160

  Ni bora amekimbilia huko mkoani maana wananchi wa jimbo la Mbozi Mashariki walishampiga ban kufika katika jimbo analorisha baada ya tume ya uchaguzi kurazimisha awe mbunge kinyume cha matakwa yao kwenye sanduku la kura.
   
 7. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Yule jama hata akipata atajichanganya tuu, maana kwanza ni mla rushwa, halafu ni mwongo, so anaenda kuanda mazishi ya nyinyiem. in short hana uwezo
   
 8. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  sura zile zile.
   
 9. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Zambi atakuwa na kazi 2 mojawapo ambazo aliogombania nao uenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mbeya nathubutu kusema wasingeweza. Kwanza kuvunja makudi ndani ya CCm mkoa wa mbeya - makundi hayo yawe ya kisiasa au yale ya kikabila. Kumchagua mnyaki au msafwa mkongwe bado kungeiweka CCM mahala pabaya. Kazi ya pili ya Zambi ni kulirudisha jimbo la Mbeya mjini mikononi mwa CCM. Jimbo hilo limeenda mikononi mwa CDM kwa sehemu kubwa kutokana na makundi ya kisiasa na ukabila ndani ya CCM pamoja na kwamba wananchi walio wengi wanauchukia ufisadi ambao CDM wamejipambanua nao.

  Itabidi Zambi ashawishi jimbo la mjini Mbeya linachukuliwa na mwana CCM ambae si Mnyakyusa au Msafwa ili Mbunge aliepo ambae ni Cosmopolitan achuane nae ipasavyo. Tatizo la makabila haya 2 yana mawazo mgando ya kizamani - mawazo yanayobishana na ukweli kuwa Mbeya City ni mji Cosmopolitan. Mbeya City isingefika hapo ilipo kama si juhudi ya ziada ya aina ya watu "wageni" ambao wana nguvu ya umiliki wa raslimali.

  Kila la kheri Zambi katika kazi yako ya uongozi. Umekubalika na wa mkoa wa Mbeya watumikie - utawafadhaisha sana ukileta ngonjera za siasa za chuki, ukabila, ufisadi etc.
   
 10. lutayega

  lutayega JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 1,215
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Du hii sasa ni hatari kichaa kukabidhiwa rungu ila kwa upande mwingine cdm wanazidi kutengenezewa njia
   
 11. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Zambi HATAGOMBEA UBUNGE jimbo la Mbozi Mashariki mwaka 2015 kwa hiyo kajionea kuna "mlo" kwenye nafasi hiyo ya UENYEKITI-MKOA hasa pesa zitakazokuja mwaka 2014 kwenye mchuano wa kutafuta U-Rais CCM!

  Sisi Mbunge wetu Dr Mwakyembe mwaka alisema HATAGOMBEA MWAKA 2015(alituambia hivyo kijijini Kasumulu mwaka 2010) lkn sasa juzi kasema tena kuwa ATATOA MAAMUZI kama atagombea au la mwakani!
   
 12. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Kama Zambi ni mchapakazi;Kwa nini aanze kulikomboa Jimbo la mbali la Mbeya mjini ili hali Jimbo la karibu yake kabisa la Mbozi Magharibi linaongozwa na kijana Silinde wa CHADEMA?Kwa nn asianze na hili then aende la mbali?

  Hapo sijakuelewa kwa kweli!
   
 13. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna jambo la kujifunza kwenye hizi chaguzi. kwanza wingi wa wapiga kura: Hapa kuna ujumbe unatumwa kwamba kama CCM iwaweka wagombea watakaochaguliwa na wanachama wao badala ya kutumia vikao vya NEC kuchakachua, basi bila shaka tayari wanao mtaji. CCM ina mtandao wa wanachama wao na ni kujidanganya kusema bila vyama vingine kuunda mtandao kushindana na mtandao huo itashinda.

  Sehemu nyingi ambako wabunge wa vyama vingine waliwashinda wale wa CCM ni kwa sababu CCM yenyewe ilipasuka. Taadhari yangu kwa hivi vyama vingine wasitegemee mipasuko ya CCM kushinda bali watengeneze mitandao ya vyama vyao kushinda!!
   
 14. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ndo akili yako inavo kutuma?
   
 15. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo mla rushwa nae anakuwa M/kiti watu wa Mbeya hamkumbuki alishatuhumiwa na kamati ya Mlema!
   
 16. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,780
  Likes Received: 1,207
  Trophy Points: 280
  bastola hazikutumika huko?
   
 17. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Sasa ndio hivyo, Mwenyekiti wa Mkoa ndio huyo aliyekuwa anaomba rushwa toka kwenye halmashauri; hapo utategemea uongozi wa aina gani? Amesoma alama za nyakati kuwa last time kwenye ubunge alichakachua na kuwa come 2015 hananafasi tena; akaona afadhali aponee huku kwenye chama cha magamba!!
   
 18. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nayo pia ni option
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kazi ipo kama ameukwaa uenyekiti
   
 20. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vua gamba vyaa gwanda
   
Loading...