Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kile kinachoonyesha kufilisika Mgombea udiwani kata ya Mpwapwa ameanza kuuza mahindi ili kumudu gharama za kampeni, wameanza kugombana na mkewe anasema anauza mahindi ya chakula akishindwa huo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nchi haiwezi endelea kwa kutegemea msaada toka n'nje.
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Wadau, Naomba kujulishwa, M4C imesitishwa kwa muda ama CDM wamenywea kwa policcm? Maana baada ya kifo cha D.Mwangosi walisema wageendelea na ratiba kama walivyokuwa wamepanga. Kumetokea nini...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa chama cha wananchi cuf maalim seif sharif hamah Amedai kuwa chanzo kikuu cha migogoro ya kijamii ikiwemo ya ardhi na mizozo ya kidini inatokana na kutokuwepo kwa mikakati imara ya...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Baada ya jana kufanya mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Bugarama, leo anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara pale KAKOLA, mji uliojaa wachimbaji wa madini, ukitembea katika mitaa yote ya Kakola...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwanza nianze kwa kumwelezea waziri ni nani? Kwa kadri ninavyofahamu mimi waziri ni Mwanasiasa. Waziri ni Kada wa chama chake. Waziri ni shabiki wa chama chake. Waziri ni MNAZI wa chama chake...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Govt Applies for U.S. $215 Million Funds BY LEONARD MAGOMBA, 23 OCTOBER 2012 Dar es Salaam — Tanzania has applied for $215m financing from the World Bank to open-up Dar es Salaam corridor as well...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
tutegemee nini watanzania safari hii?kwanza tayari waziri wa nishati na madini kaishaanza kutoa msimamo kuwa hataomba radhi kwa bunge wakati kikao kikianza baada ya tetesi kuvuja kuwa kamati au...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Wapendwa, Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo na hali ya nchi inavyoendelea! Inavyoonekana by chance or design, mawazo yanayoletwa humu JF yana-impact decision making kwenye system. Juzi ...
2 Reactions
99 Replies
7K Views
Written by Dullonet|October 23, 2012| MAHAKAMA kuu kanda ya Arusha, imemwachia huru aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Arusha mjini Gervas Mgonja pamoja na watuhumiwa wengine wawili, baada ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA John Mnyika amembana Rais Jakaya Kikwete nyumbani kwake Bagamoyo kuhusu utekelezaji wa ahadi za CCM za maisha bora kwa kila mtanzania, wanawake kuwezeshwa...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Hii ni habari ya muda mfupi uliopita. SMZ imepiga marufuku vipindi vya Uamsho vilivyokuwa vinatangazwa na Sauti ya Tanzania Zanziba a pia katika Radio nyingine zote. Mods kama Hii barua...
3 Reactions
95 Replies
10K Views
Chadema inaendeleza mchakamchaka huko Arumeru Magharibi zidi ya chama cha Mabwepande hii ni moja ya picha ya mikutano ya kati mitaa ya Bang'ata, mashambulizi yanaongozwa na Kamanda Nasari...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii ni kali sijawahi kuona,mwenyekiti wa ccm akiwaeleza vijana wa chama kuwa moja ya kanuni zao ni kushinda uchaguzi,hii imenipa wasiwasi sana na kufikiria mbali sana kwani wamekuwa wakitumia...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Nimemsikiliza kwa makini Mh. Waziri Mkuu Mstaafu kwa heshima (si kwa kashfa ya kutuibia wananchi), Mh. Fredrick Sumaye akieleza kwamba rushwa ndani ya chaguzi za CCM si tatizo jipya ispokuwa la...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
ICC: Uhuru takes TNA, URP team to Kikwete Updated Monday, October 22 2012 at 00:00 GMT+3 By Peter Opiyo The Hague case against four Kenyans featured at a meeting between Mr Uhuru Kenyatta and...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuhusu aina ya vijana aliotaka kuona, Mwalimu Nyerere alisema: “Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini; si vijana waoga, akina “ndiyo bwana mkubwa; vijana wenye ujasiri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam wanabodi.... Pitia link hii uone jinsi serikali yetu ilivyolala na huku watanzania wakiendelea kunyanyasika nchini mwao...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kuna habari zenye ukweli, sasa Uamsho wamekuja na style ya Mafia Zanzibar ya kuwamaliza wale wote maadui wa Zanzibar na UIslamu, kwa hiyo lipo kundi la watu wanaranda na gari jeupe lenye...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Amesema kama serikali hatupo tayari kusubiri watu wauwane ndipo tuseme tukae chini,inatosha na wapo tayari kukaa kimazungumzo na taasisi za kidini. My take: kauli kama hii ilitakiwa mapema mnoo...
0 Reactions
107 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…