Halima Mdee asusiwa na watendaji wa serikali za mitaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halima Mdee asusiwa na watendaji wa serikali za mitaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zamlock, Jan 27, 2011.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hali ya kushangaza imetanda maeneo ya mbenzi jogoo kwa wananchi pale alipokuwa ameitisha mkutano wake kwa wananchi kumpa kero zao cha kushangaza akuwepo diwani wa ccm na mwenyekiti wa serikali za mitaa na afisa mtendaji imewashangaza wananchi kwa hao viongozi wao kutokuwepo kwenye mkutano wa muheshimiwa mbunge na baada ya baadhi ya viongozi hao kuonekana kama mjumbe wa eneo hilo kuulizwa kwa nini akuwepo madai yao ni kwamba eti wa bunge wa chadema walimkana kikwete
   
 2. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mh asonge mbele, kwani wapo waliogizana hata majira ya saa saba mchana za afrika mashariki na sikio la kufa halihiitaji dawa tena. Hao ndo majira ilimo ccm, haisomi alama za nyakati wala haiambiliki tena. Mh, yeye aendelee kukusanya kero za wananchi kisha azishughulikie ipasavyo awakumbushe kuwa laiti wangelimchagulia madiwani utekelezaji wake ungelikuwa mzuri zaidi. Hivyo awaombe wamchaguliye wenyeviti wa vitongoji hapo mwakani. Tuiache ccm iendelee kulala ICu, itakaponzinduka itakuta wananchi wamekwisha jichukulia nchi yao.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,463
  Trophy Points: 280
  naomba nisijue elimu ya huyu mzee manake naweza nikafa ghafla
   
 4. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,830
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Usife moyo mpambanaji wetu, hao ni wehu tu hawawezi kuzuia lolote coz naamini wananchi upande wako.Halafu huyo mtendaji si ni mtumishi wa serikali....if possible ashughulikiwe. Aluta continua...
   
 5. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Hivi wananchi hawawezi kuwawajibisha viongozi wao wa chini? Kwa nini wananchi wasichukue hatua ya kuwakataa hao viongozi kwa kususia mipango ya maendeleo yao? wapewe ushauri namna ya kuwaondoa hao viongozi. Isitoshe, mtendaji wa kata ni mwajiriwa wa serikali na hapaswi kushiriki kwenye siasa.
   
 6. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wamwachie uwanja aanze kunjua makucha ya chadema, hatima 2015
   
 7. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tabia hiyo ipo kila mahali CDM iliposhinda. Kwa makusudi baadhi ya madiwani wa CCM wanakataa kushirikiana na wabunge wa CDM au viongozi wa mitaa wanakataa kushirkiana na Madiwani wa CCM!

  Kazi iendelee na wananchi wataamua! Huyo Mtendaji ni wa kumshtakia kwa Mkurugenzi na apewe onyo!
   
 8. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwangu mimi hii siyo habari.
   
 9. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  gosbertgoodluck we are not here to serve you with news.halafu nyie mliotumwa na makamba mnalipwa kwa freq za occrnc kwenye thrd za watu ngo msna mnsndika majina yenu kama yali7o. kwtnda kavae pedi
   
 10. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hivi mama huyu alipata kura ngapi vile katika jimbo lake hilo?
   
 11. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kazi kweli kweli, KWANI FISADI BADO HAJARUDI NA KOPO LAKE?:A S 20:
   
 12. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alipata kura nyingi sana!
  Alifunika! uchakachuaji ulishindikana
   
 13. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Thinking again, this could be a glorious opportunity to start a CDM office and all the people requested to join the party for future development. WOTE WALIOKUJA MKUTANONI WAPEWE KADI ZA CDM, lianzishwe tawi na mambo yaendelee without CCM. Wachague viongozi wao na waendelee kutoa ushirikiano kwa mbunge wao. Kwani hao wa CCM wataongoza bila watu? CCM watakuwa Mbuzi wanaomsusia ng'ombe majani!
   
 14. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Dr Slaa 1995 - 2000 alipata shida kama hizi Karatu but leo ni wilaya ya mfano. Mhe. Mdee kaza buti chukua experience kwa katibu wako Dr Slaa.
   
 15. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  kama aliwapa barua na hawakuja basi wajue wanakiuka sheria ya vikao.. Wao ni watendaji wa serikali na kama wasipohudhuria vikao vingine.. Then sheria ziko wazi.. Wanapewa barua na kukatwa mishahara yao..
   
 16. p

  politiki JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  KWAKO HALIMA,
  Usihuzunike kwani pasipo wao kujijua ndio wanakupa mtaji wa kisiasa kinachotakiwa kukifanya wewe ni kuwashitaki kwa wananchi waliowachagua ili kesho wawe mashahidi wako wakati wa uchaguzi. walichaguliwa na wananchi kufanya kazi pamoja na wewe na sio kufanya kazi na kikwete kwahiyo wananchokifanya ni badala ya kuwatumikia wananchi wao wamewakimbia watu waliowapa ajira kwani hawajijui kuwa wao hawakuajiliwa na kikwete bali na wananchi ambao wanawakimbia.
   
 17. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,145
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  e bana nawewe hili pekecha pekecha limetutochosha kalale sasa.:sick:
   
 18. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  acheni undumila kuwili wao walipofanya ilikuwa sawa, wakifanya wenzao ndio huwa nooo


  chadema walilikoroga sasa warambishwe alu kidogo waone ladha yake
   
 19. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Unavuta ugolo nini??!!
   
 20. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa jimbo la Kawe Halima Mdee juzi alifanya ziara ya kuwatembelea wapiga kura wake kuwashukuru kwa kumchangua ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero zao.


  Akiwa maeneo ya Jogoo alishangazwa na kutokuwaona viongozi wa serikali za mitaa pamoja na diwani wa kata usika,


  Ndipo alipojitokeza mwananchi mmoja ambaye alimwambia kuwa viongozi hao wamepewa amri ya kutokumpa ushirikiano, na atakaye kiuka amri hiyo ataondolewa kwenye nafasi yake...

  Mdee alionekana kutokushtushwa na maneno hao na kuwaambia wananchi kuwa taarifa hizo anazo na kuwa amepita baadhi ya sehemu na kukutana na vitu kama hivyo, akawaambia kuwa sehemu hizo walizonyima ushirikiano ameunda kamati iliyo shirikisha wananchi wa maeneo usika ambao watakuwa wakiwasilisha kero zao kwake....


  Ulipofika muda wa wananchi kueleza kero zao,alishangzwa na hofu waliyokuwa nayo wananchi ya kushindwa kuelezea kero zao zinazo wakabili kwenye maeneo yao,aliwaambia hawapaswi kuwa waoga na kuwatolea mfano wa yeye mwenyewe kuwa endepo angekuwa mwoga asinge shinda ubunge, bali ujasiri na uthubutu wake ndio uliomfikisha hapo...

  Alimalizia kwa kuwaambia kama wanaogopa kutoa kero zao wana mpunguzia kazi....


  Kwa kweli nimesikitishwa sana vitendo vya watendaji waserikali za mitaaa, na hii ni kampeni ya ccm ya kutaka ashindwe kutekeleza majukumu yake kwa wananchi kama alivyo sema mwenyewe Mdee.
   
Loading...