Zanzibar: Wajumbe wa chama cha CUF watoka nje ya Kikao

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
dsc03514.jpg


[h=1]
JKU.JPG
[/h] Wajumbe wa baraza la wawakilishi wa CUF mshirika katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar leo (10.10.2012) walitoka nje ya kikao wakati wa kuapishwa mwakilishi mpya wa jimbo la Bububu.
Wananchi wa chama cha CUF

Uchaguzi huo ulielezwa na chama CUF pamoja na baadhi ya waangalizi kuwa ulijaa matumizi ya nguvu na udanganyifu. CUF ilikwishasema kwamba haitompa ushirikiano mbunge huyo na tayari imepeleka hoja ya kupinga matokeo mahakamani. Sudi Mnette alizungumza na mwandishi wetu kutoka Zanzibar Salma Said ambaye kwanza anasimulia jinsi hali ilivyokuwa kuhusiana na kutoka barazani kwa wawakilishi hao wa chama cha CUF.
(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman

Mahojiano ya Sauti ya Ugeruman kati ya Sudi Mnette na Salma Said

Bonyeza Dw

AUDIO | DW.DE
 
hii kadhia ya vurugu kwenye uchaguzi itakwisha lini jamani, hivi hawa watanzania wanao pewa shilingi mbilitatu na kuwa piga wenzi wao wanatoka wapi mbona watu wa hajabu hawa?
 
Back
Top Bottom