Kayabwe JF-Expert Member Joined Jan 8, 2012 Posts 403 Reaction score 108 Nov 21, 2012 #1 Wanaofatilia kipindi maalum ITV tujuze anatuambianini kuhusu madai yetu walimu.Mugomo upo au ndo hivyo serikali imetutosa.
Wanaofatilia kipindi maalum ITV tujuze anatuambianini kuhusu madai yetu walimu.Mugomo upo au ndo hivyo serikali imetutosa.
Mnyakatari JF-Expert Member Joined Oct 25, 2010 Posts 2,113 Reaction score 1,926 Nov 21, 2012 #2 Mnahitaji kuungwa mkono na serikali ndo mfanye mgomo?
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,093 Nov 21, 2012 #3 Watu kwa kukurupuka!
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,768 Reaction score 8,044 Nov 21, 2012 #4 Hana jipya,nilimuona anaongea utadhani amekabwa kooni na makande!