Kwa akili hizi za viongozi wetu, Tanzania bado sana

Kumbakumba

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
222
18
Zimbambwa+Tanganyika+Pemba=Tanzania....Mbunge mwingine nasikia aliwahi kusema barabara ya lami ijengwe ndani ya serengeti national park, ila eti wanyama wawekewe madaraja ya chini ya barabara wapite ili wasigongwe, nikawaza nikasema huyu mbunge angepewa muda zaidi wa kuzungumza angemalizia hivi "VIBAO MAALUM VIWEKWE KUWAELEKEZA WANYAMA SEHEMU MAALUM AMBAZO WATATAKIWA KUVUKA ILI WASIGONGWE".....kwa akili hizi unategemea nn?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom