Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

JAMANI SIKU TATU ZILIZOPIA NILIITUMA BAUA HII KUMBE NILIANDIKA VIBAYA HALI KADHARIKA MAMBO NDIYO HAYO CCM UKINGONI. CHAMA CHA MAPINDUZI OFISI YA KATA, YA KIBAONI S.L.P 29, KIBAONI – IFAKARA ...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Juzi juzi tu hivi niliandika makala moja ndeefuuuu!!!! Iliyohusu umuhimu wa mabadiliko ya kisiasa hapa tz. Najua watu wengi iliwachosha sana na nilijua hivyo ndio maana nilianza na mkwara kidogo...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Nina maswali kwa mwakyembe Je? wakati tunachota kodi za wananchi kuhakikisha shirika la ndege la Taifa ATC linasimama huku tukiruhusu wawekezaji wa ndani kwa kukosa uzalendo, hivi tuna makusudi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikilaumu siasa ya Tanzania kuzorotesha maendeleo ya nchi yangu (TZ) lakini nikaamua kuangalia kwa jicho lingine. Kwa kweli hakuna nchi ambayo inatengeneza sera na miongozo mizuri kama...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Ndiyo wakuu ,heshima kwenu ! Hayawi hayawi yamekuwa , kesho kuanzia saa 2 usiku ,harakati za M4C homa na kiboko ya ccm pamoja na vibaraka wake itazinduliwa rasmi jijini mwanza kwa kanda ya ziwa...
20 Reactions
233 Replies
20K Views
Ziwa Nyasa Mali Yetu Upande Wetu Tanzania Kusuwasuwa Swali la Mipaka ya Ziwa Nyasa tumeletewa na Mkoloni Mwingereza kwa makusudi kabisa; lakini ni kosa kubwa la kutokuona mbele la League of...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Malawi Government plans to hire a team of lawyers that will include an unspecified number of British lawyers to help draft a legal paper to back her claims on Lake Malawi border dispute with...
4 Reactions
59 Replies
6K Views
Kuondoka kwa Mwalimu Nyerere kumeacha Tanzania bila matumaini! Watu wazima lakini hawaoni/hawajui hata wanalolifanya. Mmeng'ang'ania kukusanya mawazo ya wanavijiji kuhusu Katiba mpya wakati hata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa CHADEMA kata Ndugu Paulo,amesema Kamanda Malisa ameshinda kwa kishindo katika uchaguzi huo na kumuangusha mgombea wa wa CCM ndugu Tom wa kitongoji cha Llima Sioni...
11 Reactions
30 Replies
3K Views
*** KWELI HII NI KWELI? MBONA UMATI wa WATU KWENYEMKUTANO? TUESDAY, NOVEMBER 27, 2012 WANAOMPINGA WENJE WAMFANYIA VURUGU WAKATI AKABIDHI MADAWATI, MNYIKA ALIPA AHADI ALIYOITOA MKUTANO WA MWEZI...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Tutazungumza watasema ni upepo tu na utapita. 1. Wanakaa kwenye ma estate na ma mansion, wanafikia five stars hotels watafamu lini kuwa kuna maisha ya watu wa chini wanaolala kwenye nyumba za...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
30 NOVEMBER 2012 UBADHIRIFU WA BILIONI 86/- Mnyika ambana William Ngeleja *Adai wizi huo ulitokea akiwa Waziri wa Nishati *Amtaka Muhongo asiwe muoga wa kujibu hoja Na Daud Magesa, Mwanza...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
*Waziri ashangaa, ashauri inunuliwe nyingine *TCAA yasema moja haitoshi, zinahitajika tano HATIMAYE Serikali imekiri kuwa rada inayotumika kwa ajili ya kulinda usalama wa anga nchini, imechoka...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha St. Augustine Mwanza (SAUTSO) kwa kushirikiana na Asasi ya National Social Transformational (NASOT) wameandaa kongamano kubwa la Katiba jumamosi ijayo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaCCM tupo pamoja ktk mapambano ya UFISADI na Mapandikizi yao ya Vyama Vya Upinzani kama CDM nk.usihofu kelele za Dr.Slaa anayepiga mayowe unaponoa kisu cha kuangamiza mtandao wa Mafisadi ndani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi leseni za wachimbaji wadogo machimbo ya Mugusu, Geita, katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo mkoani Geita. Jumla ya leseni 21 zilikabidhiwa...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
ALHAMISI, NOVEMBA 29, 2012 05:06 NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM *Adai ndiye aliyetoa maagizo *Asema hakukurupuka kutoa mkataba ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Basil Mramba ameiambia Mahakama ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi kwanini nisiwapongeze CCM ikiwa mwenyekiti wenu anakiri hadharani chama chenu kinategemea jeshi la polisi kukandamiza haki za wengine? angalia rushwa ndani ya chama chako mbona mmeshindwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati umefika wa CDM kutafuta namna ya kujiimarisha kule Zanzibar,kwangu mimi Hamad Rashid atakuwa ni kete nzuri sana kwa cdm katika kukijenga chama kule Zanzibar, hivyo nashauri cdm tumchukue...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
UTANGULIZI Kwanza naomba nianze kwa kukiri kwamba haya ni maoni yangu kutokana na ufuatiliaji wa siasa za upinzani kuanzia mwaka 2010-2012. Yawezekana kabisa wapo wenye maoni tofauti na haya...
3 Reactions
94 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…