Ifakara: Diwani adaiwa kuwa fisadi na wananchi wamkataa

miti

Senior Member
Jun 16, 2012
136
195
JAMANI SIKU TATU ZILIZOPIA NILIITUMA BAUA HII KUMBE NILIANDIKA VIBAYA HALI KADHARIKA MAMBO NDIYO HAYO CCM UKINGONI.
CHAMA CHA MAPINDUZI
OFISI YA KATA, YA KIBAONI
S.L.P 29,
KIBAONI – IFAKARA .
18/11/2012
KUMB NO. CCM/KBN/KM/1/12
KATIBU CCM MKOA
MOROGORO
YAH: MALALAMIKO MUHIMU KUTOKA CCM KATA KIBAONI WILAYA YA KILOMBERO
Somo la hapo juu lajieleza kama inavyosomeka Halmashauri ya CCM Kata ya Kibaoni iliketi 07/11/2012 na kuangalia mwenendo mbovu wa Diwani Msika kwa kutokuwa mwaminifu katika utendaji wa kazi na tuhuma nyingi za pesa zilizoliwa za michango ya wananchi na wahisani. Pamoja na mihutasari mingi kuletwa wilayani lakini hakuna hatua zilizochukuliwa. Hivyo Halmashauri ya chama Kata ya Kibaoni imepoteza kabisa imani na Diwani wao Msika. Mpaka tunaleta taarifa kwenu Mkoani Wilaya wajua matatizo ya Diwani huyo hivyo ni mategemeo yetu mtatusaidia katika hilo.NB: Halmashauri kuu ya Kata imependekeza kumsimamisha Diwani huyu kwa nia ya kukinusuru chama.


KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
NAKALA:-
1. MWENYEKITI CCM MKOA MOROGORO - KWA UFUATILIAJI
2. KATIBU CCM (W) KILOMBERO
 

Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,707
2,000
Mimi nilifikiri keshang'olewa....kumbe bado. Kwa hili mmefanya vyema ccm. Toeni huyo jamaa tugpfanye uchaguzi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom