Sector ya usafiri wa anga inaelekea kuzimu kwa wawekezaji wa ndani ikiwema ATC

HAPPY MAKUKU

Senior Member
Dec 27, 2011
120
21
Nina maswali kwa mwakyembe Je? wakati tunachota kodi za wananchi kuhakikisha shirika la ndege la Taifa ATC linasimama huku tukiruhusu wawekezaji wa ndani kwa kukosa uzalendo, hivi tuna makusudi ya kuendeleza taifa au kulididimiza taifa? kwa sababu juhudi zote zinazofanywa zinaonekana kiini macho tu, kwani hata kiusalama wa nchi usafiri wa anga ni sensitive sana kwa sababu hao tunaowaruhusu bila hata kufikiria maslahi ya taifa wakiamua kuhujumu nchi watashindwa? hata kiuchumi bado sisi tutatumia hela nyingi kuwatajirisha watu wa nje badala ya lile pato lilikuwa libaki ndani kuendeleza taifa letu. sasa litaenda kuendeleza wazungu ambao tumepigana kwa nguvu zote kuwaondoa sasa hivi tunawaruhusu wenyewe kuja kutumaliza. hii inasikitisha sana kuona tunakossa uzallendo kiasi hichi. endeleeni kuipeleka nchi kuzimu kwa kodi za wananchi maskini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom