Hizi propaganda za sasa za CCM haziwezi kuiuwa CHADEMA. wacha CCM walalamike wenzao wamefunja makubaliano.
BACKGROUND
kiukweli ccm na CHADEMA wanajuwana sana acha leo waanze kuumbuwana kwa lile...
CHAMA CHADEMOKRASIA NA MAENDELEO – CHADEMA.
MKOA WASINGIDA.
TAARIFA KWAVYOMBO VYA HABARI:
Watanzania wengi wanatambua mapambano ambayo chamachetu (CHADEMA) kinayaendesha kiasi cha...
Katika taarifa ya habari ya jana saa mbili usiku katika Star Tv, mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi alijitapa kuwa ifikapo mwakani wataajiri walimu 25000 nchi nzima wa shule za msingi na...
Tumeshasoma maoni ya watu mbalimbali ambayo yametolewa na wananchi kila moja na mtazamo wake kwa mtu anaefaa kuwa Rais wa Tanzania wa 2015 na pasipo kuangalia itikadi bali sifa. Leo nami nimeona...
Utasikia penye shughuli ya ufunguzi labda wa daraja watawala wakisema wanatekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM, hii ina maana gani?
Ninavofahamu masuala ya uchaguzi yana muda wake sasa hao...
Gazeti la Majira la leo, lina Picha kubwa mbele, ikimwonyesha Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Bw. Abdala Bulembo akimvalisha shati la CCM Juma Songo, ambaye katika habari hiyo wamesema kuwa...
Written by mseto // 16/12/2012 // Habari // 2 Comments
Bendera ya uhuru wa Zanzibar
Kwa mara nyingine Wazanzibari kutoka sehemu mbalimbali za Skandinavia walikutana siku ya Jumamosi...
Linasomeka gazeti la Jamhuri katika kichwa chake cha habari Juni26, 2012, likufuatia kichwa cha habari kinachofanana na toleo lililopita. Hivi Kuna ukweli juu ya hili au ni fitna za kisiasa kwani...
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema haki ya kuishi, imekuwa ikikiukwa kwa kiwango kikubwa hapa nchini huku na kwamba ongezeko la vifo vya raia vinavyo sababishwa na vyombo vya...
na Edson Kamukara | Tanzania Daima | Disemba 17, 2012
HATUA ya serikali kushindwa kutekeleza maazimio ya Bunge kuhusu kamati mbalimbali zilizoundwa kuichunguza Wizara ya Nishati na Madili...
Majemedari wapiganaji wa kweli kutoka kundi la waasi UVCCM wamekutana jana katika kikao cha dharura kujadili mustakabali wa Taifa na kujadili mkakati wa mapinduzi ya kweli ndani ya CCM uliokuwa...
Kitendo cha kongozi mwandamizi wa juu kutoka serikali ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Kikwete na Chama cha mapinduzi Dr. John Pombe Magufuli kwenda kumfanyia kampeni za urais mmoja...
Salaam,
Arusha Mambo inarusha (live) moja kwa moja event ya Join the Chain kutoka Hotel ya Snow Crest Arusha, hafla rasmi itaanza Saa Moja na Nusu Jioni ya leo tarehe 15.12.2012. kwa saa za...
Hivi punde katika Kongamano ya miaka 51 baada ya uhuru, mwasiasa machachari na mbuge wa Ludewa Mh. Deo Filikunjombe ametoboa ukweli kuwa kuna kasumba na dhana potofu miongoni mwa watanzania...
Katika hatua nyingine, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), Mkoa wa Mwanza, Liberatus Mulebele amesema hakuna vijana wa chama hicho ambao wamemkataa Katibu Mkuu, Dk Willibrod Slaa...
kimsingi,wenye dola(wananchi) ndio wamiliki wa silaha zote zilizopo.wenzetu jeshi la polisi kwa matukio kama ya kagera na kwingineko,hayatoi picha nzuri.wananchi tumewapa dhamana ya kutumia silaha...
Wana jamvi Nape Nnauye kachemka vibaya baada ya kushindwa kutambua Tanzania ilitokana na muungano wa nchi zipi,katika post yake jioni hii kwenye facebook yake amesema kuwa wataendelea kuuenzi...
Nape ung'ekuwa na akili angalau za kupengea kamasi ung'echukua ushauri huu wa Hussein Bashe pengine ungekusaidia kidogo kuliko Propaganda za kadi sijui babu siji padri...
Hili si swala la uchochez,mimi ni mzalendo wa tanzania,hoja hii ichukuliwe sawa kama vile wazanzibar wanavyohoj kero za muungano.kwann ccm inawanyima haki ya uhuru wa kuchagua kiongoz wanaemtaka...
Licha ya kusema bungeni kuwa suala la mgao wa umeme ni HALIKUBALIKI lakini sas naona limeanza kukubalika kutokana na mgao wa umeme ambao hautangazwi bila shaka ni kwa lengo la kuficha aibu, Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.