Habari za Asubuhi wadau, Jumapili ya leo tunajadili mada ya mdau Mzee Mwanakijiji kuhusu suala la kuufunga mjadala wa Urais tukiilinganisha na Mawazo ya Mhadhiri Dr. Ayoub Rioba anayeutazama...
Mafisadi wa sector ya uwindaji hawa hapa.
Pamoja na kupata vitalu vyote hivi bado wanaendelea kuisumbua serikali na waziri et wameonewa kwenye ugawaji mpya uliofanyika. Angalia hapa chini jinsi...
Mifuko mingi ya jamii Tanzania kama NSSF, PSPF, PPF na mingine imekuwa ikishindana kwa kujenga magorofa badala ya kuwekeza kwenye miradi kama vile viwanda ambayo inaweza kupunguza tatizo la ajira...
waziri nyalandu anaonekana ni mwema sana lakini sakata la kumiliki kampuni ya Nitoke Safari Ltd NI KASHFA KWA SERIKALI YETU ukiangalia yeye kama mmoja ya watu muhimu serikalini..........mm...
Janet Josiah
SIASA za ukoo mmoja na sera zisizotekelezeka ndizo zilizonikatisha tamaa hadi nikafikia uamuzi wa kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuhamia Chama cha Demokrasia na...
Huku Urambo katika majimbo ya Samwel Sitta na Prof.Kapuya hali ni tete sana, Rais J.Kikwete anajiandaa kwenda kutembelea wilaya hii iliyo chini kimaendeleo licha ya kuwa na vyanzo vikubwa vya...
kuna thread humu JF inayouliza kwa nini chama kinachounda serikali ya sasa tz kiitwe chama cha Mapinduzi. mantiki ni hii hapa:
Waliamua kukiita chama cha Mapinduzi huku kikiwa hakijawahi kupindua...
Napenda kusema hivi kwa kua muda wa CCM wabunge wake na madiwani wake umefika kwani kwa Mpwapwa ikiwa ndio mahali au sehemu ya mwanzo wa ukombozi huo kwani kwenye wilaya hii kuna mawaziri wawili...
Kwanini Mwakyembe hajapata tuzo ya utumishi uliotukuka, wakati mambo anayoyafanya hayajawahi kufanywa na yeyote tangu uhuru wetu?
Au anakosa tuzo kwa kuwaharibia ulaji wana mtandao waliowekwa...
Govt faces tough moment as power woes loom large
By Florian Kaijage
15th December 2012
The Government faces difficult choices of approving the 81.27 percent increase in...
Wakati mwingine mtu anaweza kushangaa nakupigwa butwaa. Pale kwenye mkutano mkuu wa CCM(Waasisi wa Ufisadi na Umasikini wa watz) Dodoma kulikuwa na tambo za hapa na pale; pia maelekezo toka kwa...
MAKAMANDA!
Najuwa mna majukumu mengi mno ya kuhakikisha tuna mtoa mkoloni mweusi, waTanganyika wote tufaidi Asali na Mana katika nchii hii inayo tiririka kila aina ya neema.
Naomaba kama hakuja...
Wana JF! Nimekuwa nikifuatilia mijadala inayoendelea kuhusu Katibu Mkuu wa CHADEMA kuwa na kadi ya CCM. Kwa mujibu wa katiba ya CCM, mwanachama atakoma uanachama wa CCM kama atajiunga na chama...
Kamati Kuu ya CHADEMA imekutana Dar es Salaam jana katika kikao chake cha siku mbili ambacho pamoja na mambo mengine, kinatarajiwa kuutafutia dawa mpasuko mkubwa ndani ya chama hicho mkoani...
INADHIHIRISHA wazi hakuna utawala bora nchini kwa sasa na kama upo, basi utakuwa si wa maana kwani haiwezekani mtu ambaye amevuliwa uanachama na chama chake, akapewa nafasi ya kuwa meya na...
"Land has been a hot topic in Tanzania over teh last several... years. Stories of land grabbing, corupt land deals-, non-transparent investments and even displacements have been increasingly in...
Dear my fellow Tanzanian, proud 2be a Tanzanian first, then think twice the resources available in our country, WHY most of us we are very poor? politics will never rich us anywhere, believe it...
PPF and NSSF conspire with some employers to temper with workers' contributions. Look, Newhabari hasn't remmited the funds since 2008 and yet no legal actions are being instituted! Shame on...
..when will JK be serious??
..kwanini anafanya kazi kwa mizaha-mizaha na kulipua-lipua kiasi hiki?
..what is so difficult kutenganisha wizara za muungano, na wizara zisizo za muungano, na kuteua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.