Nape achemka tena

Nape achemka tena

Status
Not open for further replies.
Joined
Apr 3, 2012
Posts
28
Reaction score
7
Wana jamvi Nape Nnauye kachemka vibaya baada ya kushindwa kutambua Tanzania ilitokana na muungano wa nchi zipi,katika post yake jioni hii kwenye facebook yake amesema kuwa wataendelea kuuenzi ungano wa Tanzania na Zanzibar kama maazimio yao ya chama,hivi kweli Tanzania iliungana na Zanzibar au ndio muendelezo wa uvuvuzela wao?
Nawasilisha
 
Pro-Chadema JF mpo hoi badala ya kupambana na CCM wanapambana na Nape.
 
nape ni janga la taifa.......let we have a campaign of anti Nape.........kiongozi mbumbumbu anakiua chama chake mwenyewe.......
 
Mkuu!

WAMEPAGAWA HAO!!! Baada ya kuona single ya kadi imesha kosa chati ndiyo hivyo wanaanza kuropoka hovyo. Na bado, laana ya kuwa dhuluma waTanganyika ita muandama yeye na ukoo wake wote ulio bakia. Naamini Mungu katika hili, hata msamehe yeyote aliye nyuma ya uharamia huu.
 
sikushangai sana Ritz kwani uwezo wako wa kufikiri umeasiriwa kwa kiasi kikubwa na mfumo pumbaza, na wakifanyacho ccm ni kufanikiwa kukupumbaza wewe.......sauti ya Nape ni sauti ya ccm, ni sauti yako.....hili ndo jambo linalotugharimu kama taifa pale tunapokuwa na chatter box wengi.....kilichotokea kenya kwa magufuli ndo kama haya wataka kutuaminisha, matamshi ya membe kuhusu kuivamia malawi na kupeleka askari kongo si zake bali husadifu nchi na hususan ccm.......................nape ni janga ndugu yangu
 
Kama form six alipata zero unategemea atajua jina la Tanzania limetoka wapi?
 
Naomba muamini kwamba Nape anauelewa zaidi ya viongozi wenu wote mnao wategemea chadema hivyo kuendelea kumjadili ni kumvunjia heshima yake mbele ya jamii.
 
Elimu ya kihindi hayo ndo madhara yake!

kama waziri tena mwenye dhamana kubwa katueleza kuwa Tanzania ilitokana na Muungano dhidi ya Tanganyika na Zimbabwe mwaka 11964 mngetegemea nini kwa Nape?
 
Pro-Chadema JF mpo hoi badala ya kupambana na CCM wanapambana na Nape.

kama ilivyo ccm badala ya kupambana na cdm wanapambana na DR. SLAA. hahaha haha Ritz mnaanzisha ugomvi wa mawe wakati unaishi nyumba ya vioo
 
Mtu makini hawezi kufanya kosa la kijinga kama hilo kutojua Tanzania imetokana na nini bali anabaki kuropoka tuu kama mwendawazimu asiyejua afanyalo,mbona yeye alishindwa kujadili maendeleo na kuamua kufanya personal attack kwa Dr. wa ukweli?hakuwa na mada za maana kujadili dhidi ya taifa hili?acheni kumtetea eti mtu makini wakati ni kilaza mkuu,Nape janga la kitaifa,niliwahi kumuuliza kama ni halali kuendelea kupata mshahara kama DC wa Masasi wakati ameteuliwa kuwa katibu mwenezi wa CCM,kilichofuatia ni kuni-unfriend facebook,huyo ndio kiongozi kweli ukiuliza issue zinazomgusa anachemka?atwambie alipokea mishahara mingapi bila kuwatumikia wananchi wa Masasi kama DC?uadilifu wake uko wapi?
 
Wana jamvi Nape Nnauye kachemka vibaya baada ya kushindwa kutambua Tanzania ilitokana na muungano wa nchi zipi,katika post yake jioni hii kwenye facebook yake amesema kuwa wataendelea kuuenzi ungano wa Tanzania na Zanzibar kama maazimio yao ya chama,hivi kweli Tanzania iliungana na Zanzibar au ndio muendelezo wa uvuvuzela wao?
Nawasilisha

Ni aibu sana, lakini hawa jamaa ni mavuvuzela kweli wamebobea kusema uongo. Wanachanganya uongo na ujuha
 
Pro-Chadema JF mpo hoi badala ya kupambana na CCM wanapambana na Nape.

Nape kachokoza mwenyewe; anajifanya jembe la CCM wakati anashambukia watu na kushindwa kujibu hoja
 
sikushangai sana Ritz kwani uwezo wako wa kufikiri umeasiriwa kwa kiasi kikubwa na mfumo pumbaza, na wakifanyacho ccm ni kufanikiwa kukupumbaza wewe.......sauti ya Nape ni sauti ya ccm, ni sauti yako.....hili ndo jambo linalotugharimu kama taifa pale tunapokuwa na chatter box wengi.....kilichotokea kenya kwa magufuli ndo kama haya wataka kutuaminisha, matamshi ya membe kuhusu kuivamia malawi na kupeleka askari kongo si zake bali husadifu nchi na hususan ccm.......................nape ni janga ndugu yangu
sasa mbona wewe umekosea?'umeasiriwa' ndo kiswahili cha wapi.siku nyingine sema umeathiriwa.
 
Mtu makini hawezi kufanya kosa la kijinga kama hilo kutojua Tanzania imetokana na nini bali anabaki kuropoka tuu kama mwendawazimu asiyejua afanyalo,mbona yeye alishindwa kujadili maendeleo na kuamua kufanya personal attack kwa Dr. wa ukweli?hakuwa na mada za maana kujadili dhidi ya taifa hili?acheni kumtetea eti mtu makini wakati ni kilaza mkuu,Nape janga la kitaifa,niliwahi kumuuliza kama ni halali kuendelea kupata mshahara kama DC wa Masasi wakati ameteuliwa kuwa katibu mwenezi wa CCM,kilichofuatia ni kuni-unfriend facebook,huyo ndio kiongozi kweli ukiuliza issue zinazomgusa anachemka?atwambie alipokea mishahara mingapi bila kuwatumikia wananchi wa Masasi kama DC?uadilifu wake uko wapi?

Haaa! Anaendelea kula hela za u dc? Astaghafirulah!
 
Wana jamvi Nape Nnauye kachemka vibaya baada ya kushindwa kutambua Tanzania ilitokana na muungano wa nchi zipi,katika post yake jioni hii kwenye facebook yake amesema kuwa wataendelea kuuenzi ungano wa Tanzania na Zanzibar kama maazimio yao ya chama,hivi kweli Tanzania iliungana na Zanzibar au ndio muendelezo wa uvuvuzela wao?
Nawasilisha
na wewe unaposema ungano ndo unaamanisha muungano?acha umbea siku nyingine
 
Jamani mwacheni nape simajua digrii yake kapatia india.baada kupata max ambazo hasingeweza kujiunga na chuo chochote hapa tanzania.
 
nape ni janga la taifa.......let we have a campaign of anti Nape.........kiongozi mbumbumbu anakiua chama chake mwenyewe.......
'let we' ndo kíingereza cha wapi wewe mburula?sema kwa nguvu let us!haya twendeee ....
 
Naomba muamini kwamba Nape
anauelewa zaidi ya viongozi wenu wote mnao wategemea chadema hivyo
kuendelea kumjadili ni kumvunjia heshima yake mbele ya jamii.

nape ana heshima gani mkuu kwenye jamii!
 
Naomba muamini kwamba Nape anauelewa zaidi ya viongozi wenu wote mnao wategemea chadema hivyo kuendelea kumjadili ni kumvunjia heshima yake mbele ya jamii.

I can imagine uwezo wako wa kufikiri ukoje kama unamwona Nape ni kichwa kati ya vichwa!!!!

Tiba
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom