Nyalandu amhujumu Kagasheki

Mnyampaa

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
244
58
Linasomeka gazeti la Jamhuri katika kichwa chake cha habari Juni26, 2012, likufuatia kichwa cha habari kinachofanana na toleo lililopita. Hivi Kuna ukweli juu ya hili au ni fitna za kisiasa kwani maelezo ya ndani ya habari hii hayaonyeshi wazi juu ya usaliti huu isipokuwa sakata la TANAPA na 'Wawekezaji' wenye Hoteli za kitalii juu ya 'concession fee' ambapo inasemekana Nyalandu alishauri katika kikao kimojawapo juu ya utaratibu wa malipo hayo. Ninashawishika kuhoji hivi kutokana na ukweli kuwa habari hii imekuwa ikiandikwa na gazeti hili tu.
 
inawezekana huyu jamaa hayuko serious anaonekana ni mbinafsi....ana mascandal kibao cjui walimpa uwaziri kwa kigezo gani huyu Nyalando..mimi hapa kwa namna ninavyomjua utaona mwisho wake..ili kuprove maneno yangu namjua sana huyu dogo
 
Nafahamu kuwa anapenda sana misifa na hupenda kuonekana mchapakazi hata kama hakuna analofanya zaidi ya matangazo kwenye media. Hata mimi nina wasiwasi na utendaji wake kwani ni wa kujionyesha zaidi kuliko matokeo. anapenda kuonekana kuliko mabosi wake. ila katika hili la sasa sijawa na uhakika na kinachoandikwa.

inawezekana huyu jamaa hayuko serious anaonekana ni mbinafsi....ana mascandal kibao cjui walimpa uwaziri kwa kigezo gani huyu Nyalando..mimi hapa kwa namna ninavyomjua utaona mwisho wake..ili kuprove maneno yangu namjua sana huyu dogo
 
Hivi Serikali ya CCM miaka ya karibuni imekumbwa na nini? Zile vetting ambazo ilikuwa ni lazima na kwa usiri wa hali ya juu zilikuwa zikifanywa na TISS kabla wateule hawajateuliwa kwenye nafasi mbali mbali siku hizi hazipo tena kama enzi za Mwalimu?

Nini kimetokea? Inakuwaje wahuni na majambazi ndio waliojazana chamani na serikalini siku hizi? Inakuwaje majizi na corrupt people ndio wakuu wa taasisi zetu nyeti na hata baadhi ya mawaziri ni watu jinsi hii?

Chama kiko wapi? Rais yuko wapi? Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wako wapi? Hivi hawaoni au hawajiulizi hii hali kulikoni?

Simwonei wivu Nyalandu, wala sina shida kwamba mkewe (Faraja Kota) aliwahi kuwa Miss Tanzania; hayo hayanihusu bali maadili yake kwa nafasi aliyo nayo yanatia shaka na hastahili hiyo nafasi. Yaani kila siku yeye tu kwenye media!
 
Hii inahitaji details zaidi kwani ni tuhuma nzito sana hizi

Nyalandu ana madhaifu yake lakini kuandamwa kwake kulikoanza hivi karibuni hakutokani na hayo madhaifu bali role aliyofanikisha kwenye NEC ya ccm iliyopita na mchango wake ktk kambi mojawapo ya Urais. Mtanielewa vema baada ya Kagasheki naye kuonyesha wazi kambi yake.
 
Inawezekana........

Na pia inawezekana pia yeye Nyalandu anahujumiwa pia.

Vyote vyawezekana
 
Shinikizo la vibopa fulani wa U.s.a ambao nyalandu m.b.w.a wao na utaalamu wa kuloby alionao nyalandu ndo vilimfanya ba mwanaasha amteue na si vinginevyo.Kwani nyalandu mwenyewe hamkubali ba mwanaasha hata kidogo,nakumbuka tukiwa mitaa fulani 2005 alipopitishwa jk kugombea urais jamaa alisema "watanzania wakimchagua huyu bwana watalia" alikuwa na gari yake moja kali sikumbuki ni aina gani akijinasibu nayo kuwa ziko mbili tu tz,hiyo ya kwake na nyingine ambayo yeye nyalandu alimzawadia che mkapa kama zawadi...SYSTEM YOTE YA GOVERNMENT YA TZ KUANZIA STATE HOUSE DOWN WARD IS ROTTEN ALL THROUGH...mpaka matajiri wa magharibi wanatupangia serikali,hili ni zaidi ya shamba la bibi.
 
...kule ktk kile chuo si alibaka huyu na akainguia mitini....ba mwanahasha ni dili za totoz tu na meno ya tembo .hakuna lolote...!!!!
Shinikizo la vibopa fulani wa U.s.a ambao nyalandu m.b.w.a wao na utaalamu wa kuloby alionao nyalandu ndo vilimfanya ba mwanaasha amteue na si vinginevyo.Kwani nyalandu mwenyewe hamkubali ba mwanaasha hata kidogo,nakumbuka tukiwa mitaa fulani 2005 alipopitishwa jk kugombea urais jamaa alisema "watanzania wakimchagua huyu bwana watalia" alikuwa na gari yake moja kali sikumbuki ni aina gani akijinasibu nayo kuwa ziko mbili tu tz,hiyo ya kwake na nyingine ambayo yeye nyalandu alimzawadia che mkapa kama zawadi...SYSTEM YOTE YA GOVERNMENT YA TZ KUANZIA STATE HOUSE DOWN WARD IS ROTTEN ALL THROUGH...mpaka matajiri wa magharibi wanatupangia serikali,hili ni zaidi ya shamba la bibi.
 
Tanapa wanamgeuka nyalandu kwa makosa yao wenyewe...
Nyalandu hana msaada kwa sababu yuko ccm...
Tanapa wanachukua advarntage hiyo..
Audience kwa kuwa hawaipendi ccm(majority) wakisapotiwa na vyombo vya habari hii inshu wanaichukulia kwa upande mmoja bila kufanya uchunguzi binafsi
Huku naita ni kukurupuka
No one knows this issue in and out ni tanapa na wizara
Naongea hivi ili nitoe mwanya wa watu waichunguze tanapa, na ufisadi wao
Halafu baadae mtaona kuwa nyalandu alikuwa anafanya nini
Leo hii naoenekana naongea pumba na wengine hasa wanachojua ni nini kinaendelea watanisupport
Anyway ngoja niwahi kahawa maana inapoa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom